Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Mzee wa miaka 73 ashtakiwa kwa kumnyanyasa kingono Mtoto wa miaka 6 huko Kambi ya Moto Kaunti ya Nakuru
Mzee huyo anadaiwa kumrubuni kwa peremende Mtoto huyo kisha kumfanyia kitendo hicho kilicho kinyume cha maadili na sheria
Mtoto huyo alipiga kelele kupaza sauti ndipo majirani walijitokeza na kumkamata mtuhumiwa ambaye hata hivyo aliachiwa na Mahakama huko Nakuru kwa dhamana ya Shilingi za Kenya 200,000 ambazo ni sawa na Milioni 4.4 za Kitanzania
======
A 73-year-old man has been charged with assaulting a six-year-old girl in Kambi ya Moto in Nakuru county.
Nakuru High Court Principal magistrate Joe Omido heard that Rono Chumo lured the child with sweets before pouncing on her.
She screamed for help and neighbours responded and Chumo was allegedly nabbed on the act.
The father of five was released on a Ksh.200,000 bond.
Source: The Citizen Tv - Kenya