Nakusalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Nakusalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Mtu amenitumia msg ameanza na maneno hayo. Sijapendezewa.

Yule mtu anaitwa nani sijui,Engels or something,ni me delete Ile post,sijui ana shida gani.

Ameweka video ya mtu amepondeka uso kwa kupigwa. Huyo mtu alikuwa anaongea maneno ya kumkashifu K Julius Nyerere.

Like it is something to threaten me. Huyu mtu sijui anaweza kuwa more explicit? Is there a threat against me kuhusiana na yale mambo niliyoandika asubuhi kuhusu utajiri mkubwa wa hawa viongozi wetu?

Nakumbuka Lipumba nilimfuata siku moja kuuliza maswali. Alikuwa amamaliza kuhutubua mkutano wa CUF na alikuwa anafungafunga vitu.

Nikamwambia,"Ukisema hivi na hivi,sijaelewa,unaweza kufafanua?"
Akasema,"Sikiliza spichi zangu mbili au tatu halafu what my thought is will be clear to you."

Mi sijawahi kuipenda hiyo salamu ya kusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naona kama vile haiko sawa.
Mimi nianze kuuliza kwa nini watu wengine wana hela? Si nitaambiwa mimi nina wivu? Kwa sababu hayo ndiyo mambo yanayoleta matatizo; wivu,chuki,dharau.
 
Mtu amenitumia msg ameanza na maneno hayo. Sijapendezewa.

Yule mtu anaitwa nani sijui,Engels or something,ni me delete Ile post,sijui ana shida gani.
Kijijini kwa bibi YANGU huko ndani ndani,

Hadi Leo wanajua kuwa Bado Nyerere ni Rais.

Sasa yawezakuwa huyo amedhani WEWE ndiye mtawala kwa sasa.
 
Back
Top Bottom