Nakusanya ushahidi kuishitaki sekretarieti yote ya yanga

hv ww kwa uzoefu wako timu gani ya afrika mashariki imewahi kupata faida kupitia mpira?hivyo manji yupo sahihi kuichukua cm na kuiendesha kwa mfumo mwingne.usiwe muoga wa mabadiliko.kwa mfumo huu tulionao ww umepata faida gani?
 
wanaopinga mpango huo wote walikuwa wananufaika na kuibia timu kutengeneza jezi feki kutengeneza tiketi banda. leo hii kuna makontena kibao ya jezi feki za mashabiki wamepigwa stop zinawaozea ndani ndio kelele zote hizo timu tunampa manji mtake msitake tunataka wale wanaoibia timu wakafanye kazi nyingine katika umri wa miaka 80 hakuna kiogozi aliotoa kitu chenye thamani kwa klabu zaidi ya manji kutoa ardhi yenye thamani ya billion 50
 
Kapimwe akili. Kama huyo Manji anaitakia mema Yanga angeibakisha nembo ya Yanga hapo ilipokuwa. Sio kuibeba kwenda nayo Quality Plaza.

Jiulize kitu kimoja halafu usinijibu. Manji kakaa pale zaidi ya miaka 4 eti timu imepata hasara ya 11bil wakati yeye ndio alikuwa anacontrol kila kitu. Hiyo 11bil nani Kai approve kuwa kweli ilitumika. Halafu huyo huyo mnampa timu kwa miaka 10 bure bila kuweka chochote kama security. Ulishawahi kuona wapi mkopo hauna collateral???
 
hv ww kwa uzoefu wako timu gani ya afrika mashariki imewahi kupata faida kupitia mpira?hivyo manji yupo sahihi kuichukua cm na kuiendesha kwa mfumo mwingne.usiwe muoga wa mabadiliko.kwa mfumo huu tulionao ww umepata faida gani?

Mkuu Mimi huwa siwaelewi hawa watu, siwaelewi kabisa tena.
Unaweza kukuta hawa ndio wale Makomandoo wanaolilia kukaa Milangoni wapate Pesa ya kujikimu kimaisha, lakini ukimuuliza Kama aliwahi kununua hata Ndizi kumpa mchezaji baada ya mazoezi.
Hawa watu wa Aina ya akili ya yule Mzee Akilimali ni shida kabisa, Yule MZEE hana hata Mbuni, lakini kila siku anajitia Mzee wa Baraza la wazee wakati hachangii chochote.
Mpeni tu timu Manji, mpira unataka Pesa na Manji ndio anaetoa Pesa kuihudumia Yanga, Pesa yake mnataka, lakini kumpa timu hamtaki, timu akiwaachia kuihudumia hamuwezi.
Watu ni shida kabisa.
 
Kwa mujibu wa Manji mwenyewe. Manji hakuwahi kutoka pesa alikuwa anaikopesha Yanga. N sasa anadai chake n kinaingizwa ktk mkataba kama deni upo hapo we mbwiga?
 
Nipo Mbwiga, haya chukueni timu kwa Manji halafu mje tuwape Maharage na Dagaa kauzu za kupeleka Kambini.
Maana tunajua NJAA tu zinawasumbua, kula yenu Yanga kuolewa kwenu Yanga, lakini Pesa ya kuihudumia timu mkipewa hamna.
Bagayaroo.
 
Wewe huna hoja yoyote unajambajamba tu humu. Kwa taarifa yako mimi sio Yanga n sijawahi n siwezi kuwa huko over my dead body. Na sio kila mtu anayembishia Manji basi ana maslahi au ni komandoo. Kama ndio hivyo Yanga Ina makomandoo 40m.
Jibu hoja acha ukanjanja. Manji sio mungu kubali amekosea n anazidi kuksea
 
Sasa kama wewe sioYanga wee unawashwa nini kwa Yanga kumpa timu wanayetaka kumpa?,huo utaalamu wa uchumi au ushauri wako wana Yanga hawautaki kaa nao mwenyewe,kwani wao washaamua hivyo liwalo na liwe kam wewe unajiona unaweza kutoa ushauri wapelekee ndugu zako wa matopeni wanaouza timu yao na rasilimali zao zote,kwani afadhali hata Yanga watabaki na sehemu ya kupigia soga na kuuza kahawa,kuliko nyie mnaouza timu na majengo yenu.
 
Wewe huna hoja yoyote unajambajamba tu humu. Kwa taarifa yako mimi sio Yanga n sijawahi n siwezi kuwa huko over my dead body. Na sio kila mtu anayembishia Manji basi ana maslahi au ni komandoo. Kama ndio hivyo Yanga Ina makomandoo 40m.
Jibu hoja acha ukanjanja. Manji sio mungu kubali amekosea n anazidi kuksea

Mwambie Babako Mzee Akilimali mkachukue timu mkuu, yule Babu nae kama wewe akili zake.
Anajifanya mtu wa Baraza la wazee wakati hata akiambiwa anunue kichane cha Ndizi awape wachezaji wale baada ya mazoezi kurudisha Sukari waliyopoteza uwezo huo hana, halafu anajitia kimbele mbele kama wewe.
Mnashangilia ushindi tu, lakini Pesa zinapotoka kuihudumia timu si mnajua anatoa Manji lakini?!!!, inaeleweka timu mkirudishiwa Wakora mtaanza kujipangia kukaa getini, mnajinufaisha ninyi.
Hamna uwezo wa kutoa chochote, halafu mnakataa timu asipewe Manji, ninyi watu wa aina gani?!!, mpira unataka Pesa, Manji anatoa Pesa zake kuihudumia Yanga, apewe tu aihudumie ninyi mkichukua timu mtaturudisha kule kule kwenye kuchangiwa Maharage na Dagaa.
Mpeni Manji timu, wapenzi tu nataka matokeo tu Uwanjani.
 
mazuzu fc
Mabingwa wa kihistoria 26 times.... sishangai watanzania wanapenda umaskini ndio maana CCM itatawala Maisha yote... Mpe Manji muda asipotimiza anatoka tatizo liko wapi
 
Mimi na mpango wa kuwaambia takukuru wamchunguze Ali Mustafa (Bartez) kwa nini mechi za simba na Yanga anafanya madudu... Naona nyuma Yake kuna viongozi wanaopanga matokeo.. Wanayanga tusimpuuze huyu mtu ni hatari kwa ustawi wa timu yetu
 
Uongeze na haya mawili
1: Wamesajili mchezaji wa kigeni ambaye anafunga magoli ya mkono,, kalisababishia taifa letu hasara kwa matumizi yke mabaya ya mkono mchezoni.

2: Walimvua mzee Akilikali Kikofia chake tena hadharani bila kujali. Heshima yke.
 
Mwambie Babako Mzee Akilimali mkachukue timu mkuu, yule Babu nae kama wewe akili zake.
Anajifanya mtu wa Baraza la wazee wakati hata akiambiwa anunue kichane cha Ndizi awape wachezaji wale baada ya mazoezi kurudisha Sukari waliyopoteza uwezo huo hana, halafu anajitia kimbele mbele kama wewe.
Mnashangilia ushindi tu, lakini Pesa zinapotoka kuihudumia timu si mnajua anatoa Manji lakini?!!!, inaeleweka timu mkirudishiwa Wakora mtaanza kujipangia kukaa getini, mnajinufaisha ninyi.
Hamna uwezo wa kutoa chochote, halafu mnakataa timu asipewe Manji, ninyi watu wa aina gani?!!, mpira unataka Pesa, Manji anatoa Pesa zake kuihudumia Yanga, apewe tu aihudumie ninyi mkichukua timu mtaturudisha kule kule kwenye kuchangiwa Maharage na Dagaa.
Mpeni Manji timu, wapenzi tu nataka matokeo tu Uwanjani.
Umetumwa na manji wewe hiaaaa
 
Kapimwe akili. Kama huyo Manji anaitakia mema Yanga angeibakisha nembo ya Yanga hapo ilipokuwa. Sio kuibeba kwenda nayo Quality Plaza.

Jiulize kitu kimoja halafu usinijibu. Manji kakaa pale zaidi ya miaka 4 eti timu imepata hasara ya 11bil wakati yeye ndio alikuwa anacontrol kila kitu. Hiyo 11bil nani Kai approve kuwa kweli ilitumika. Halafu huyo huyo mnampa timu kwa miaka 10 bure bila kuweka chochote kama security. Ulishawahi kuona wapi mkopo hauna collateral???
ndio tatizo aliloliona hiyo miaka minne mpango huo si mgeni hata Orlando pares wamefanya vivyo hivyo kama ulitegemea yanga kuishi imekula kwenu timu tunammilikisha manji mtake msitake kale mihogo
 
Ndugu zangu wapenda Mpira wanachama hai Hasa wa Yanga sina maneno mengi ya kuwachosha niko hapa kuomba tushirikiane lengo liwazi ninahitaji kuwapeleka mahakamani viongozi wote wa Yanga kwa kujimegea timu kama mali Yao binafsi iwapo kweli nikibaini makubaliano ya kujikodisha timu kwa miaka kumi kweli yamefikiwa.

1. Wamekubaliana bila kuhusisha wanachama nchi nzima kujikodisha time kihasara hasara bila kujali wamiliki halali wa nembo na timu kwa ujumla.

2. Nimesikia wakisema eti timu ina deni linalifikia bln 10 kama kweli limefikaje deni kubwa hivyo wakati wote tunajua manji alikuja kama mfadhiri na sio mkopeshaji kama sio ufisadi.

3. Iwapo kweli wanajikodisha timu wataingizaje faida iwapo ndani ya uongozi wao wameshindwa kuleta faida wala uwanja kujengwa hakuna ila wanatangaza madeni tuu.

4. Mwisho ikiwa uongozi ndio wakodishaji nani atasimamia mapato ya timu yetu ili kuhakikisha huo mgawo wanaoudai watautoa 25% kwa 75% ni kweli utapatikana kama sio watatutangazia hasara mara kumi zaidi ili waifirisi timu jumla? Humuoni hapo kuna maslahi binafsi halo.

View attachment 379329

Nb: mengine mnaweza kuongezea au kuboresha hoja hizi ili kujenga maendeleo ya mpira Tanzania tusifanye utapeli wa simbapoli kwa huruma ya kushiba (matokeo) kwa muda mfupi tutakuja kulia muda umekwenda.
Si mliingizwa bure kuona Mazembe halafu kesho yake mkatumia dakika kumi tu kuuza tu
Hakuna watu wapumbavu duniani kama wanachama wa yanga
 
Ndugu zangu wapenda Mpira wanachama hai Hasa wa Yanga sina maneno mengi ya kuwachosha niko hapa kuomba tushirikiane lengo liwazi ninahitaji kuwapeleka mahakamani viongozi wote wa Yanga kwa kujimegea timu kama mali Yao binafsi iwapo kweli nikibaini makubaliano ya kujikodisha timu kwa miaka kumi kweli yamefikiwa.

1. Wamekubaliana bila kuhusisha wanachama nchi nzima kujikodisha time kihasara hasara bila kujali wamiliki halali wa nembo na timu kwa ujumla.

2. Nimesikia wakisema eti timu ina deni linalifikia bln 10 kama kweli limefikaje deni kubwa hivyo wakati wote tunajua manji alikuja kama mfadhiri na sio mkopeshaji kama sio ufisadi.

3. Iwapo kweli wanajikodisha timu wataingizaje faida iwapo ndani ya uongozi wao wameshindwa kuleta faida wala uwanja kujengwa hakuna ila wanatangaza madeni tuu.

4. Mwisho ikiwa uongozi ndio wakodishaji nani atasimamia mapato ya timu yetu ili kuhakikisha huo mgawo wanaoudai watautoa 25% kwa 75% ni kweli utapatikana kama sio watatutangazia hasara mara kumi zaidi ili waifirisi timu jumla? Humuoni hapo kuna maslahi binafsi halo.

View attachment 379329

Nb: mengine mnaweza kuongezea au kuboresha hoja hizi ili kujenga maendeleo ya mpira Tanzania tusifanye utapeli wa simbapoli kwa huruma ya kushiba (matokeo) kwa muda mfupi tutakuja kulia muda umekwenda.
Wewe ni mikia fc mnamuogopa manji anavyowasumbua kila siku kawambie waliokutuma huna jipya
 
Back
Top Bottom