Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Asikudanganye mtu. Magari yana maana kubwa sana kwa wenzetu na mimi nmeona athari zake pia katika jamii yetu. Pata muda jaribu kutafakari wenye kuendesha magari aina hii.
1. Subaru
2. Alteza
3. Ist
4. Crown
5. Brevis
6. Harrier
7. Vitz
8. Noah
n.k
Wengi wao wanakuwa na akili za kitoto sana na macho juu juu. Hawana utulivu wa nafsi na akili.hata barabarani mara nyingi utaona wanakimbia kimbia tu na kujifanya wababe huku wakifanya mbwembwe za kipuuzi kabisa.
Wengi wana sifa za umalaya, ulevi,husuda na utoto mwingi sana.kifupi hawana utulivu.na hii inatokana nadhani na magari hayo kuwabadilisha akili.jamaa yangu alikuwa na subaru kiukweli nlikuwa hata iwe vipi sipand gari yake.maana nlihisi tutaonekana washamba wawili kwenye gari. Nlikuwa radhi kipindi flani nina changamoto ya usafiri nipande daladala kuliko gari yake.
Nlikuja kaa naye siku moja nikamshauri sana kuwa ameshakuwa mtu mzima ana mke na watoto watatu abadilike.akauza ile subaru akanunua Prado.nikamwona amechange ghafla sana.
Akawa ana nidhamu, ana utulivu na akapunguza sana kunywa pombe na kuchelewa kurudi nyumbani.aliacha ubabe wa kijinga barabarani.mpaka mke wake alikuja kunishukuru.jamaa amekuwa mwanaume na baba wa familia.
Mimi binafsi hayo magari nliwahi miliki subaru ndani ya miezi mitatu nikauza.nikaongeza pesa nikanunua VW Touareg nikajipanga nikanunua na Mercedes Benzi.naona watu wananiheshimu vizuri tu.na akili yangu imetulia barabarani sitaki hata mtu anikwaruze kidogo.so mwenye haraka na mbabe namwacha tu apite.
Dada zangu msije mkaolewa na vijana wenye hayo magari watawaacha wajane au wataaaingiza matatizoni kipuuzi kabisa.