Nakushauri Dada yangu Usiolewe na Mwanaume anayependa Gari/Magari haya.Utajuta

Nakushauri Dada yangu Usiolewe na Mwanaume anayependa Gari/Magari haya.Utajuta

Fala menyewe bana...kwanini ni unanitukana?kwaninhuwezi nijibu bira matusi?kwa ninini lakini?nakuuliza wewe.kwanni nemekukosea nini?acha izo bana.apa tueshimiane tu.sio matusi kama unatukana mutoto mdogo.
Acheni lugha za matusi mates,hayo ni magari tu, siyo tabia za watu.
 
Bona mimi nina harriya new modeli na crown na ni mtumzima sina vujo?acha izo bana.iyo ni tabia tu ya mutu wara sisababu ya gali wara nini.balabalani zetu zote blother tusipangiine magali yanku nunua.heshima bele.
Guru Guja ni Mtanzania?
 
Hata mimi naona huku mkoani wenye pikpik za kichina kama SANLG wanavyokimbia kimbia hovyoo
 
Jf bwana watu wanamatambo balaa eti dada zangu msiolewe na watu wanaomiliki hayo magar huku ukijisifu kwa kununua magar...huu ni utoto plus ujinga..

Aliekwambia gari linabeba tabia ya mtu ni nani,tabia ya mtu anayo mwenyewe mbona huwaongelei wanaoendesha malori!

Mm nikipata mshiko ntamiliki moja ya hayo magari uliokataza dada zako wasiolewe na wanaoyaendesha tuone kama utawaoa ww.
Amini kwamba Jamaa ana pointi ya msingiii saanaa Nakurahisishiaa Ndege Wanaofanana Huruka Kundii Mojaaa.
 
Hapo ndipo utakapokuta dada yako kaolewa na mtu mwenye Mercedes Benz la kuazima.

Wakati ma CAG wanatembelea IST mnawadharau.
 
Kibongo bongo ukiwa na BMW unajiona tawi sana.wakati ukienda Marekani Kati ya madereva au watu wanaozaraulika wanakuonekana Ni wa hovyo Ni madereva ea BMW..ANGALIA comments kwenye video hapa chini

I 95 highway. Umenikumbusha enzi zangu Miami
 
Bona mimi nina harriya new modeli na crown na ni mtumzima sina vujo?acha izo bana.iyo ni tabia tu ya mutu wara sisababu ya gali wara nini.balabalani zetu zote blother tusipangiine magali yanku nunua.heshima bele.
harriya ni gari from where asee,, afu ww ni mtu mzma in terms of chronic age na sio mental age na ndo mana hata kiswahl chakupiga chenga
 
laia ndo toleo jipya la iphone au?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio murud.si jabo jema kusingizia mtu laia wa inchi ingine.mimi mtanzania kama wewe na wewe.sijui kwa ninin inakuwa shida.paka wegine wanaanza nitukana matusi makubwa makubwa.asante sanaa
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa sijui ni muhamiaji haramu amekuja huku kutafuta eti watoto wazuri wakamtoa nduki kuandikia hajui.. anazuga ana maduka kariakoo , mara msichana aki comment kwenye uzi wake kumsahihisha ananza kumshukuru kwa kumkubalia basi vurugu tupuuu[emoji1][emoji1]
 
Hiyo n.k. maana yake na magari mengine....fanyia kazi uandishi wako kwanza kaka hatujakuelewa
 
Back
Top Bottom