Nakushauri Dada yangu Usiolewe na Mwanaume anayependa Gari/Magari haya.Utajuta

Fala menyewe bana...kwanini ni unanitukana?kwaninhuwezi nijibu bira matusi?kwa ninini lakini?nakuuliza wewe.kwanni nemekukosea nini?acha izo bana.apa tueshimiane tu.sio matusi kama unatukana mutoto mdogo.


Fala wewe..nenda kajifunze kuandika kwanza ndo uje uchangie mada za wenye akili.
 
Sio murud.si jabo jema kusingizia mtu laia wa inchi ingine.mimi mtanzania kama wewe na wewe.sijui kwa ninin inakuwa shida.paka wegine wanaanza nitukana matusi makubwa makubwa.asante sanaa

Mkuu anaweza kuwa mrundi huyo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bandiko la kipuuzi huenda ndilo la kufungia mwaka,halitatokea la kipuuzi zaidi ya hili.
 
Kibongo bongo ukiwa na BMW unajiona tawi sana.wakati ukienda Marekani Kati ya madereva au watu wanaozaraulika wanakuonekana Ni wa hovyo Ni madereva ea BMW..ANGALIA comments kwenye video hapa chini
 
Huyo ni Guru Guja! Unamjua guru guja? guru guja ni mjusi asiye na akili

Huyu jamaa sijui ni muhamiaji haramu amekuja huku kutafuta eti watoto wazuri wakamtoa nduki kuandikia hajui.. anazuga ana maduka kariakoo , mara msichana aki comment kwenye uzi wake kumsahihisha ananza kumshukuru kwa kumkubalia basi vurugu tupuuu[emoji1][emoji1]
 
Hivi Mark ll, passo, spacio, pajero g,d,i hazijatajwa?
Mkuu Mark II gari ya heshima, kwa kiasi fulani nakubaliana na mtoa mada kwani inawezekana kabisa amefamnya utafiti, japokuwa nae amekiri kwamba aliwahi kuendesha Subaru, Ila mimi naiondoa kwenye orodha Crown, Inawezekena haya magari yana tabia zake za asili ambazo mmiliki hujikuta akizirithi pasi hata na kujua.
 
Vp akimiliki mwanamke hizo gari hujamalizia mkuu ila kama kunakaukweli hv lakin sijahafki.
 
Bona mimi nina harriya new modeli na crown na ni mtumzima sina vujo?acha izo bana.iyo ni tabia tu ya mutu wara sisababu ya gali wara nini.balabalani zetu zote blother tusipangiine magali yanku nunua.heshima bele.

Kwa huu mwandiko lazima uwe mstaarabu maana sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…