COMPTON BLVD
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 682
- 615
Acheni lugha za matusi mates,hayo ni magari tu, siyo tabia za watu.Fala menyewe bana...kwanini ni unanitukana?kwaninhuwezi nijibu bira matusi?kwa ninini lakini?nakuuliza wewe.kwanni nemekukosea nini?acha izo bana.apa tueshimiane tu.sio matusi kama unatukana mutoto mdogo.
KABANGA unaongeaga neno moja tu,ambalo mtu anatafakari kwa uwezo wake...Sawa....
Guru Guja ni Mtanzania?Bona mimi nina harriya new modeli na crown na ni mtumzima sina vujo?acha izo bana.iyo ni tabia tu ya mutu wara sisababu ya gali wara nini.balabalani zetu zote blother tusipangiine magali yanku nunua.heshima bele.
GaiaWaliobaki ni wazee tu anaendesha
1. Nadia
2. Escudo
3. RAV4
5. Hilux
6. Prado
7. Landcriuser
8. Land lover
9. Mitsubishi
Amini kwamba Jamaa ana pointi ya msingiii saanaa Nakurahisishiaa Ndege Wanaofanana Huruka Kundii Mojaaa.Jf bwana watu wanamatambo balaa eti dada zangu msiolewe na watu wanaomiliki hayo magar huku ukijisifu kwa kununua magar...huu ni utoto plus ujinga..
Aliekwambia gari linabeba tabia ya mtu ni nani,tabia ya mtu anayo mwenyewe mbona huwaongelei wanaoendesha malori!
Mm nikipata mshiko ntamiliki moja ya hayo magari uliokataza dada zako wasiolewe na wanaoyaendesha tuone kama utawaoa ww.
I 95 highway. Umenikumbusha enzi zangu MiamiKibongo bongo ukiwa na BMW unajiona tawi sana.wakati ukienda Marekani Kati ya madereva au watu wanaozaraulika wanakuonekana Ni wa hovyo Ni madereva ea BMW..ANGALIA comments kwenye video hapa chini
harriya ni gari from where asee,, afu ww ni mtu mzma in terms of chronic age na sio mental age na ndo mana hata kiswahl chakupiga chengaBona mimi nina harriya new modeli na crown na ni mtumzima sina vujo?acha izo bana.iyo ni tabia tu ya mutu wara sisababu ya gali wara nini.balabalani zetu zote blother tusipangiine magali yanku nunua.heshima bele.
Sio murud.si jabo jema kusingizia mtu laia wa inchi ingine.mimi mtanzania kama wewe na wewe.sijui kwa ninin inakuwa shida.paka wegine wanaanza nitukana matusi makubwa makubwa.asante sanaa
Huyu jamaa sijui ni muhamiaji haramu amekuja huku kutafuta eti watoto wazuri wakamtoa nduki kuandikia hajui.. anazuga ana maduka kariakoo , mara msichana aki comment kwenye uzi wake kumsahihisha ananza kumshukuru kwa kumkubalia basi vurugu tupuuu[emoji1][emoji1]
πππ€£π€£π€£Bila shaka hii ni fixπ
Sisi watembea kwa miguu nafasi yetu ya kuoa ni ndogo sana.
sawa kabisa ndugu...KABANGA unaongeaga neno moja tu,ambalo mtu anatafakari kwa uwezo wake...
Duuh πKama hili Je...!!??View attachment 1252026