Nakushauri kocha wangu Robertinho yule Yao Yao wa Yanga mwekee Kibu Dennis au Saido upande wake na sio Chama, utanishukuru

ROBERTINHO HUWA NINAWASILIANA NAE.
ATAKUBALI KILA KITU LAKINI IKIFIKA SIKU YA MCHEZO HABADILI KIKOSI CHAKE.

NIMEMSHAURI MALA KAZA KUWA.

Chama angecheza kati 10 kwa Saido.

Mzamiru angecheza kwa chama 11.
Kama kiungo wa pembeni.

Saido angeanzia Benchi.

Lakini hiki kitu kwa Robertinho ni Imposible.
 
Hivi kwanini usiombe nafasi ya kocha? Maana mwenyewe unajiona upo sahihi kabisa kuingilia majukumu ya kocha. Kama shabiki tu unafikia hadi hatua ya kuwasiliana na kocha ili apange kikosi unavyotaka wewe, vipi kuhusu viongozi wa ngazi za juu nao? Kama bado tupo kwenye zama za kuwaapangia makocha cha kufanya basi soka letu bado lina safari ndefu sana.
 

Tunajadiliana mambo ya kiufundi tuna chart, tunawasiliana kama marafiki.
Nikipata nafasi nakwenda hata mazoezini kwake

siwezi kuwa Coach Umri wangu ni mdogo sana

Nina proffesional nyingine kabisa.

SIJAWAHI KUMPANGIA HUWA NINA SHAURI TU.
 
Timu ianze vilevile - Mbele Baleke Nyumba yake Chama, Saidoo na MKANDAJI. Huko kwengine sina shida nako kunaeleweka.

Afu dakika ya 70 - aingie Mmakonde kwa Mkandaji (atakuwa kashawakandika moko) afu Jenerali nafasi ya Baleke
Mwenda pia acheze dakika 15 za mwisho kwa Kapombe

Putin na Ngoma dimba la kati ( Mzamiru aingie dk ya 80 kumalizia mzigo)

Tumemaliza game, hutaki - Tangulia Burundi.
 

Saido ndio no 10 wa simba tangu asajiliwe.

Chama hajawahi kucheza No 10. Tangu saido amesajiliwa simba
Jamaa anashauri siku hiyo chama achezeshwe 10 anakuwa hatari zaidi na saido ana Nguvu ya kumzuia yao amzuie akiwa kwenye no 11.

Nahisi umeelewa
 
Saido ndio no 10 wa simba tangu asajiliwe.

Chama hajawahi kucheza No 10. Tangu saido amesajiliwa simba
Jamaa anashauri siku hiyo chama achezeshwe 10 anakuwa hatari zaidi na saido ana Nguvu ya kumzuia yao amzuie akiwa kwenye no 11.

Nahisi umeelewa
Yeah chama anacheza a bit deeper, Saido anakupa kila kitu, ana nguvu ya kukaba, kushambulia na target ya goli, mpambanaji - Chama anakupa vyote isipokuwa kukaba kidogo inakuwa shida.

Mzee wa mipango anaseza kushangaza kwa kumwanzisha Kibu kama farce no 9, kisha Chama akacheza nyuma yake. Ni mipango tu.
 
kwa hii hali ya mvua!nawapa makolo ushindi wao!wanayanga wenzagu tusubiri mechi ya marudiano wakati wa kiangazi mwezi april mwakani
 
Mmeanza kujitetea mapemaa,round hii hamna msamaha tena.Yanga hata wacheze 8 tu ninyi fully mnakufa tatu.
 
Mkuu, huyo ni mbumbumbu mwenye mikia mrefu kuliko wote humu.
 
Mkuu, huyo ni mbumbumbu mwenye mikia mrefu kuliko wote humu.

Unajisikiaje kushoboka mno kwa mtu ambaye hana time na wewe??????????

Alafu Bahati Mbaya nakuheshimu sana Mkuu sema unajivunjia sana heshima yako.

Katika members ninaowapa respect umo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…