Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini usiombe nafasi ya kocha? Maana mwenyewe unajiona upo sahihi kabisa kuingilia majukumu ya kocha. Kama shabiki tu unafikia hadi hatua ya kuwasiliana na kocha ili apange kikosi unavyotaka wewe, vipi kuhusu viongozi wa ngazi za juu nao? Kama bado tupo kwenye zama za kuwaapangia makocha cha kufanya basi soka letu bado lina safari ndefu sana.ROBERTINHO HUWA NINAWASILIANA NAE.
ATAKUBALI KILA KITU LAKINI IKIFIKA SIKU YA MCHEZO HABADILI KIKOSI CHAKE.
NIMEMSHAURI MALA KAZA KUWA.
Chama angecheza kati 10 kwa Saido.
Mzamiru angecheza kwa chama 11.
Kama kiungo wa pembeni.
Saido angeanzia Benchi.
Lakini hiki kitu kwa Robertinho ni Imposible.
Hivi kwanini usiombe nafasi ya kocha? Maana mwenyewe unajiona upo sahihi kabisa kuingilia majukumu ya kocha. Kama shabiki tu unafikia hadi hatua ya kuwasiliana na kocha ili apange kikosi unavyotaka wewe, vipi kuhusu viongozi wa ngazi za juu nao? Kama bado tupo kwenye zama za kuwaapangia makocha cha kufanya basi soka letu bado lina safari ndefu sana.
Timu ianze vilevile - Mbele Baleke Nyumba yake Chama, Saidoo na MKANDAJI. Huko kwengine sina shida nako kunaeleweka.
Afu dakika ya 70 - aingie Mmakonde kwa Mkandaji (atakuwa kashawakandika moko) afu Jenerali nafasi ya Baleke
Mwenda pia acheze dakika 15 za mwisho kwa Kapombe
Putin na Ngoma dimba la kati ( Mzamiru aingie dk ya 80 kumalizia mzigo)
Tumemaliza game, hutaki - Tangulia Burundi.
Yeah chama anacheza a bit deeper, Saido anakupa kila kitu, ana nguvu ya kukaba, kushambulia na target ya goli, mpambanaji - Chama anakupa vyote isipokuwa kukaba kidogo inakuwa shida.Saido ndio no 10 wa simba tangu asajiliwe.
Chama hajawahi kucheza No 10. Tangu saido amesajiliwa simba
Jamaa anashauri siku hiyo chama achezeshwe 10 anakuwa hatari zaidi na saido ana Nguvu ya kumzuia yao amzuie akiwa kwenye no 11.
Nahisi umeelewa
Kabla ya hapo si ndio mlikuwa mnachonga nyie? Na badoHizi mechi mbili za mwisho kati ya Simba na Yanga, zimewapa sana mdomo Simba wanachonga sana.
kwa hii hali ya mvua!nawapa makolo ushindi wao!wanayanga wenzagu tusubiri mechi ya marudiano wakati wa kiangazi mwezi april mwakaniSemaji la Simba kaongea maneno ya mpira, Yanga wako vizuri sana sasa hivi na sio ajabu uwezo wao dimbani wakiongezea na mambo yao ya nje ukifanya masihara lazima ukae.
Namshauri sana kocha wangu Robertinho yule beki wa kulia wa Yanga aitwae Yao Yao ni beki aliyekamilika, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, anapanda yaani kama uliwahi kumuona marehemu Raphael Paul Rp au marehemu Yussuf Ismail Bana basi hana tofauti na huyo Yao Yao.
Kwa namna anavyocheza na spidi yake kocha hapaswi kumweka Chama upande wa kushoto, Chama ameshuka sana kiwango kucheza upande wa kushoto, Chama acheze kiungo wa kati au namba 10 kama Yanga wanavyofanya kwa Aziz Ki, Chama hatomweza Yao Yao kwa sababu anaulinda mguu wake, Yao Yao sio mtu wa kawaida, Chama ataonekana amehongwa tu na watu wa Yanga, katika cku za hv karibuni upande anaowekwa Chama hauna impact kabisa, mzambia huyo akae kati mtaona hao akina Bacca au Mwamnyeto kama hawakujamba siku hiyo.
Upande wa Yao Yao akae mgeni rasmi Kibu Dennis au Micquisone au Saido kwa sababu hao wana nguvu, akili na uwezo mkubwa dimbani, asije akamweka Chama au Onana upande wa Yao Yao, tutashambuliwa mwanzo mwisho.
Pia namuona Ngoma ni mzuri sana lakin wale vijana akina Max Mzengeli, Pacome, Aucho, na Aziz Ki bila mganga wale watatusumbua sana, wale wanahitaji viungo wababe kama Mzamiru, Sadio Kanoute, chama akae kati naamini hawataonekana, Ngoma akicheza uchezaji wake uko slow wakat Pacome na Max wanateleza sana wajinga wale.
Tuombe mungu tu Derby iishe salama lakini jamaa hawa wameshazifunga timu zote, wamejipanga mno kuhakikisha wanatufunga ili tukose cha kusema.Kila la heri nguvu moja.
Ziliingia bao mbili, refa wenu akazikataa.Na hata Kule Tanga walikuwepo. Sasa sijui Wana jipya gani kwenye hii mechi.
Kiufupi me naomba refa asiwe jinsia ya kike.Cha msingi marefa wawe fair kwa Simba na Yanga
Mkuu, huyo ni mbumbumbu mwenye mikia mrefu kuliko wote humu.Hivi kwanini usiombe nafasi ya kocha? Maana mwenyewe unajiona upo sahihi kabisa kuingilia majukumu ya kocha. Kama shabiki tu unafikia hadi hatua ya kuwasiliana na kocha ili apange kikosi unavyotaka wewe, vipi kuhusu viongozi wa ngazi za juu nao? Kama bado tupo kwenye zama za kuwaapangia makocha cha kufanya basi soka letu bado lina safari ndefu sana.
Mkuu, huyo ni mbumbumbu mwenye mikia mrefu kuliko wote humu.