Nakushauri kocha wangu Robertinho yule Yao Yao wa Yanga mwekee Kibu Dennis au Saido upande wake na sio Chama, utanishukuru

Semaji la Simba kaongea maneno ya mpira, Yanga wako vizuri sana sasa hivi na sio ajabu uwezo wao dimbani wakiongezea na mambo yao ya nje ukifanya masihara lazima ukae.

Namshauri sana kocha wangu Robertinho yule beki wa kulia wa Yanga aitwae Yao Yao ni beki aliyekamilika, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, anapanda yaani kama uliwahi kumuona marehemu Raphael Paul Rp au marehemu Yussuf Ismail Bana basi hana tofauti na huyo Yao Yao.

Kwa namna anavyocheza na spidi yake kocha hapaswi kumweka Chama upande wa kushoto, Chama ameshuka sana kiwango kucheza upande wa kushoto, Chama acheze kiungo wa kati au namba 10 kama Yanga wanavyofanya kwa Aziz Ki, Chama hatomweza Yao Yao kwa sababu anaulinda mguu wake, Yao Yao sio mtu wa kawaida, Chama ataonekana amehongwa tu na watu wa Yanga, katika cku za hv karibuni upande anaowekwa Chama hauna impact kabisa, mzambia huyo akae kati mtaona hao akina Bacca au Mwamnyeto kama hawakujamba siku hiyo.

Upande wa Yao Yao akae mgeni rasmi Kibu Dennis au Micquisone au Saido kwa sababu hao wana nguvu, akili na uwezo mkubwa dimbani, asije akamweka Chama au Onana upande wa Yao Yao, tutashambuliwa mwanzo mwisho.

Pia namuona Ngoma ni mzuri sana lakin wale vijana akina Max Mzengeli, Pacome, Aucho, na Aziz Ki bila mganga wale watatusumbua sana, wale wanahitaji viungo wababe kama Mzamiru, Sadio Kanoute, chama akae kati naamini hawataonekana, Ngoma akicheza uchezaji wake uko slow wakat Pacome na Max wanateleza sana wajinga wale.

Tuombe mungu tu Derby iishe salama lakini jamaa hawa wameshazifunga timu zote, wamejipanga mno kuhakikisha wanatufunga ili tukose cha kusema.Kila la heri nguvu moja.
Sijaelews hapo yaani Kibu ndio amkabe Yao au Yao amkabe Kibu? ina maana kwamba Simba wanaenda kupack bus? wakati una hangaika na Yao upande wa pili kuna Lomalisa na Max au Skudu kumbuka Kapombe siku hizi hana kasi na anapitika kirahisi huoni balaa hilo?
 
Alichomaanisha wawepo wachezaji watakaomfanya Yao Kwasi asipande pande mbele mbele maana Yao ni beki mshambuliaji pia
 
Semaji la Simba kaongea maneno ya mpira, Yanga wako vizuri sana sasa hivi na sio ajabu uwezo wao dimbani wakiongezea na mambo yao ya nje ukifanya masihara lazima ukae.

Namshauri sana kocha wangu Robertinho yule beki wa kulia wa Yanga aitwae Yao Yao ni beki aliyekamilika, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, anapanda yaani kama uliwahi kumuona marehemu Raphael Paul Rp au marehemu Yussuf Ismail Bana basi hana tofauti na huyo Yao Yao.

Kwa namna anavyocheza na spidi yake kocha hapaswi kumweka Chama upande wa kushoto, Chama ameshuka sana kiwango kucheza upande wa kushoto, Chama acheze kiungo wa kati au namba 10 kama Yanga wanavyofanya kwa Aziz Ki, Chama hatomweza Yao Yao kwa sababu anaulinda mguu wake, Yao Yao sio mtu wa kawaida, Chama ataonekana amehongwa tu na watu wa Yanga, katika cku za hv karibuni upande anaowekwa Chama hauna impact kabisa, mzambia huyo akae kati mtaona hao akina Bacca au Mwamnyeto kama hawakujamba siku hiyo.

Upande wa Yao Yao akae mgeni rasmi Kibu Dennis au Micquisone au Saido kwa sababu hao wana nguvu, akili na uwezo mkubwa dimbani, asije akamweka Chama au Onana upande wa Yao Yao, tutashambuliwa mwanzo mwisho.

Pia namuona Ngoma ni mzuri sana lakin wale vijana akina Max Mzengeli, Pacome, Aucho, na Aziz Ki bila mganga wale watatusumbua sana, wale wanahitaji viungo wababe kama Mzamiru, Sadio Kanoute, chama akae kati naamini hawataonekana, Ngoma akicheza uchezaji wake uko slow wakat Pacome na Max wanateleza sana wajinga wale.

Tuombe mungu tu Derby iishe salama lakini jamaa hawa wameshazifunga timu zote, wamejipanga mno kuhakikisha wanatufunga ili tukose cha kusema.Kila la heri nguvu moja.
Wote walikuwepo kwenye game na ihefu tuanzie hapo kwanza...
 
FACT bro [emoji817] yule YAO YAO ni MTU na NUSU na kama SIMBA tunataka KUSHINDA ile GAME itabidi Tuanze na BOCCO pale MBELE pamoja na ONANA.....vinginevyo TUTAAIBIKA bure....
Sent by itel
 
Semaji la Simba kaongea maneno ya mpira, Yanga wako vizuri sana sasa hivi na sio ajabu uwezo wao dimbani wakiongezea na mambo yao ya nje ukifanya masihara lazima ukae.

Namshauri sana kocha wangu Robertinho yule beki wa kulia wa Yanga aitwae Yao Yao ni beki aliyekamilika, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, anapanda yaani kama uliwahi kumuona marehemu Raphael Paul Rp au marehemu Yussuf Ismail Bana basi hana tofauti na huyo Yao Yao.

Kwa namna anavyocheza na spidi yake kocha hapaswi kumweka Chama upande wa kushoto, Chama ameshuka sana kiwango kucheza upande wa kushoto, Chama acheze kiungo wa kati au namba 10 kama Yanga wanavyofanya kwa Aziz Ki, Chama hatomweza Yao Yao kwa sababu anaulinda mguu wake, Yao Yao sio mtu wa kawaida, Chama ataonekana amehongwa tu na watu wa Yanga, katika cku za hv karibuni upande anaowekwa Chama hauna impact kabisa, mzambia huyo akae kati mtaona hao akina Bacca au Mwamnyeto kama hawakujamba siku hiyo.

Upande wa Yao Yao akae mgeni rasmi Kibu Dennis au Micquisone au Saido kwa sababu hao wana nguvu, akili na uwezo mkubwa dimbani, asije akamweka Chama au Onana upande wa Yao Yao, tutashambuliwa mwanzo mwisho.

Pia namuona Ngoma ni mzuri sana lakin wale vijana akina Max Mzengeli, Pacome, Aucho, na Aziz Ki bila mganga wale watatusumbua sana, wale wanahitaji viungo wababe kama Mzamiru, Sadio Kanoute, chama akae kati naamini hawataonekana, Ngoma akicheza uchezaji wake uko slow wakat Pacome na Max wanateleza sana wajinga wale.

Tuombe mungu tu Derby iishe salama lakini jamaa hawa wameshazifunga timu zote, wamejipanga mno kuhakikisha wanatufunga ili tukose cha kusema.Kila la heri nguvu moja.
Yanga kuifunga Simba ni mpaka Robertinho aondoke
 
Yanga tunakubali wapo vizuri Sana ila Wana upungufu pia....paccome na Azizi Ki ni wazuri wakiwa wanashambulia lakini wanapoteza mipira mingi ni sehemu ya kuzingatia kufanya turnover kuwashambulia,Yao Yao Mzuri inabidi awekewe Kibu D
Simba wabovu kwenye Beki zao, kwa uchezaji ule si ajabu hadi Halftime YANGA wakiwa mbele kwa Chuma 3.
 
Sio rahisi kihivyo kwenye derby gap hizo huwa hazionekani pia wachezaji wanapandisha vieango vyao Sana....Yanga kacheza mechi mbili za vipimo dhidi ya Ihefu na Azam karuhusu goli 4.
 
Simba wabovu kwenye Beki zao, kwa uchezaji ule si ajabu hadi Halftime YANGA wakiwa mbele kwa Chuma 3.
Haitokuwa mechi rahisi hivyo kama wana Yanga wenzangu mnovyowaza. ila nashauri kutokana na ukuta ulivyo wa Simba wachezaji wa Yanga wawe wanajaribu kupiga mashuti nje ya kumi na nane na target vizuri lango. Maxi Aziz Ki, Yao na Pacome wote ni wazuri kwenye kupiga mashuti. Wajitahidi kulenga golini watavuna tu kitu.
Upande wa uchezaji, wacheze mpira wao wa kurudisha kwa haraka mpira endapo wakipoteza ili kumfanya mpinzani asitawale mchezaji na kasi ya kushambulia iwe kubwa.
 
Semaji la Simba kaongea maneno ya mpira, Yanga wako vizuri sana sasa hivi na sio ajabu uwezo wao dimbani wakiongezea na mambo yao ya nje ukifanya masihara lazima ukae.

Namshauri sana kocha wangu Robertinho yule beki wa kulia wa Yanga aitwae Yao Yao ni beki aliyekamilika, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, anapanda yaani kama uliwahi kumuona marehemu Raphael Paul Rp au marehemu Yussuf Ismail Bana basi hana tofauti na huyo Yao Yao.

Kwa namna anavyocheza na spidi yake kocha hapaswi kumweka Chama upande wa kushoto, Chama ameshuka sana kiwango kucheza upande wa kushoto, Chama acheze kiungo wa kati au namba 10 kama Yanga wanavyofanya kwa Aziz Ki, Chama hatomweza Yao Yao kwa sababu anaulinda mguu wake, Yao Yao sio mtu wa kawaida, Chama ataonekana amehongwa tu na watu wa Yanga, katika cku za hv karibuni upande anaowekwa Chama hauna impact kabisa, mzambia huyo akae kati mtaona hao akina Bacca au Mwamnyeto kama hawakujamba siku hiyo.

Upande wa Yao Yao akae mgeni rasmi Kibu Dennis au Micquisone au Saido kwa sababu hao wana nguvu, akili na uwezo mkubwa dimbani, asije akamweka Chama au Onana upande wa Yao Yao, tutashambuliwa mwanzo mwisho.

Pia namuona Ngoma ni mzuri sana lakin wale vijana akina Max Mzengeli, Pacome, Aucho, na Aziz Ki bila mganga wale watatusumbua sana, wale wanahitaji viungo wababe kama Mzamiru, Sadio Kanoute, chama akae kati naamini hawataonekana, Ngoma akicheza uchezaji wake uko slow wakat Pacome na Max wanateleza sana wajinga wale.

Tuombe mungu tu Derby iishe salama lakini jamaa hawa wameshazifunga timu zote, wamejipanga mno kuhakikisha wanatufunga ili tukose cha kusema.Kila la heri nguvu moja.
Kwa sisi tuliosoma kozi ya awali ya ukocha yule unapitisha mashambulizi kule kule upande wake yaani akienda kushambulia sisi tukipata Mali hko kwake inakuwa uchochoro.
 
Huyo Kibu hana akili hata moja ya mpira, bora akawe baunsa wa Harmonize, kuifunga Yanga hata Sarpong aliwakanda Ndunduka na ubovu wake
 
Na hata Kule Tanga walikuwepo. Sasa sijui Wana jipya gani kwenye hii mechi.
Zilifungwa goli waamuzi wa Tanzania wenye Kiwango kidogo walikataa Hata Kwenye penati walishindwa kabisa kusimamia, Na Tanga var hakuna .
 
Semaji la Simba kaongea maneno ya mpira, Yanga wako vizuri sana sasa hivi na sio ajabu uwezo wao dimbani wakiongezea na mambo yao ya nje ukifanya masihara lazima ukae.

Namshauri sana kocha wangu Robertinho yule beki wa kulia wa Yanga aitwae Yao Yao ni beki aliyekamilika, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, anapanda yaani kama uliwahi kumuona marehemu Raphael Paul Rp au marehemu Yussuf Ismail Bana basi hana tofauti na huyo Yao Yao.

Kwa namna anavyocheza na spidi yake kocha hapaswi kumweka Chama upande wa kushoto, Chama ameshuka sana kiwango kucheza upande wa kushoto, Chama acheze kiungo wa kati au namba 10 kama Yanga wanavyofanya kwa Aziz Ki, Chama hatomweza Yao Yao kwa sababu anaulinda mguu wake, Yao Yao sio mtu wa kawaida, Chama ataonekana amehongwa tu na watu wa Yanga, katika cku za hv karibuni upande anaowekwa Chama hauna impact kabisa, mzambia huyo akae kati mtaona hao akina Bacca au Mwamnyeto kama hawakujamba siku hiyo.

Upande wa Yao Yao akae mgeni rasmi Kibu Dennis au Micquisone au Saido kwa sababu hao wana nguvu, akili na uwezo mkubwa dimbani, asije akamweka Chama au Onana upande wa Yao Yao, tutashambuliwa mwanzo mwisho.

Pia namuona Ngoma ni mzuri sana lakin wale vijana akina Max Mzengeli, Pacome, Aucho, na Aziz Ki bila mganga wale watatusumbua sana, wale wanahitaji viungo wababe kama Mzamiru, Sadio Kanoute, chama akae kati naamini hawataonekana, Ngoma akicheza uchezaji wake uko slow wakat Pacome na Max wanateleza sana wajinga wale.

Tuombe mungu tu Derby iishe salama lakini jamaa hawa wameshazifunga timu zote, wamejipanga mno kuhakikisha wanatufunga ili tukose cha kusema.Kila la heri nguvu moja.
Kama mmemfunga mbabe wetu Ihefu, tutawawezea wapi!
Tuacheni
 
Back
Top Bottom