Nakusudia kuanzisha ligi ya soka ya kugombea kombe la Chadema , nawaomba wadau mniunge mkono

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
FB_IMG_1619978511922.jpg

Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri .

Nakaribisha maoni ya namna nzuri ya kuendesha michuano hii ili kukidhi vigezo vya FIFA .

Karibuni
 
Kila lenye heri na baraka tele!
Kwa kuchangia japo kwa mawazo, naweza kusema ni vema ungeshirikisha wadau kadhaa wa kabumbu ili watoe maoni. Kwa mfano;
Je ni bora kuanzisha ligi, kwa maana ya bingwa kuchukua kombe kwa wingi wa pointi kama kawaida!?
Au ni bora zaidi iwe katika mfumo wa michuano, yaani makundi, robo fainali n.k?
Bila kusahau, je hiyo ligi/michuano ni kwa lengo la kuibua vipaji vipya, yaani washiriki zitakuwa timu za mtaa( ndondo) au hizi tunazozifahamu i.e Yanga, Simba n.k??
 
asante , hili ndio lengo kuu la kuomba maoni ya wadau
 
View attachment 1771556

Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri .

Nakaribisha maoni ya namna nzuri ya kuendesha michuano hii ili kukidhi vigezo vya FIFA .

Karibuni
Kwa hisani ya hotel Desderia.
 
Vipi lile basi uliloliedit kama huo mpira kisha ukaweka hapa na kusema Lisu kapewa na wabalgiji lilishafika?
 
Back
Top Bottom