Nakusudia kuanzisha ligi ya soka ya kugombea kombe la Chadema , nawaomba wadau mniunge mkono

Nakusudia kuanzisha ligi ya soka ya kugombea kombe la Chadema , nawaomba wadau mniunge mkono

Mnaweza fanyiwa figisu nyingi sana na serekale kuu mpaka mkakata tamaa

Bora mliite JPM SUPER CUP
Mkikataa Tanzania litakwenda nchi nyingine , michuano hii ni fursa kwa vijana kuna mpunga mrefu sana
 
Icho kibali cha hayo mashindano kitatolewa nani huyo asieipenda kazi yake?
Ikifanikiwa wana CCM wengi watashiriki,unajua ukitaka kumjua adui yako vema ni bora ukaenae karibu umpekue vizuri nyeti zake.
 
Icho kibali cha hayo mashindano kitatolewa nani huyo asieipenda kazi yake?
Ikifanikiwa wana CCM wengi watashiriki,unajua ukitaka kumjua adui yako vema ni bora ukaenae karibu umpekue vizuri nyeti zake.
Sidhani kama watayafitini
 
Wachezaji na Mashabiki watakuwa wanachama wa CHADEMA tu 🤣
 
Michezo ni sehemu ya kujenga urafiki nq upendo lakini tukiruhusu makombe kwa itikadi za siasa kama taifa tutapotea maana hata fifa wamekataza siasa kuongizwa kwenye michezo
 
View attachment 1771556

Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri .

Nakaribisha maoni ya namna nzuri ya kuendesha michuano hii ili kukidhi vigezo vya FIFA .

Karibuni
sawa mnyika tumekuelewa
 
Back
Top Bottom