Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni mpango wa muda mrefu , sikujua kama hatokuwepoIngekuwa vema kama ungeanzisha hiyo ligi kipindi cha yule dhalimu aliyeitwa Meko, kwa maana angedhamini hiyo ligi kwa mapesa mengi sana.
Sawa mkuu.Ni mpango wa muda mrefu , sikujua kama hatokuwepo
Mbowe hahusikiNdio wewe na mbowe mmeamua kuja na nitoke vipi
asante , hili ndio lengo kuu la kuomba maoni ya wadauKila lenye heri na baraka tele!
Kwa kuchangia japo kwa mawazo, naweza kusema ni vema ungeshirikisha wadau kadhaa wa kabumbu ili watoe maoni. Kwa mfano;
Je ni bora kuanzisha ligi, kwa maana ya bingwa kuchukua kombe kwa wingi wa pointi kama kawaida!?
Au ni bora zaidi iwe katika mfumo wa michuano, yaani makundi, robo fainali n.k?
Bila kusahau, je hiyo ligi/michuano ni kwa lengo la kuibua vipaji vipya, yaani washiriki zitakuwa timu za mtaa( ndondo) au hizi tunazozifahamu i.e Yanga, Simba n.k??
Kwa hisani ya hotel Desderia.View attachment 1771556
Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri .
Nakaribisha maoni ya namna nzuri ya kuendesha michuano hii ili kukidhi vigezo vya FIFA .
Karibuni
Akosekani kwenye hilo wazo mgandoMbowe hahusiki
umeishia darasa la ngapi ?Akosekani kwenye hilo wazo mgando
Akataaa!
zinazoshiriki ni timu , siyo masikini mmoja mmojaMimi sitashiriki. Nitoe kabisa katika hesabu yako
Kwani unaumri gani?umeishia darasa la ngapi ?
weka ushahidiVipi lile basi uliloliedit kama huo mpira kisha ukaweka hapa na kusema Lisu kapewa na wabalgiji lilishafika?