Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri


Nashukuru kwa maoni na connection
 
Ushauri mzuri sana. Nashukuru kiongozi.
Karibu sana,na kuhusu soko usiwe na wasiwasi kabisa Yani uhitaji wa nyama ni mkubwa sana ,vile vile usije ukasahau kujisajili kwenye bodi ya nyama Tanzania
 
Karibu sana,na kuhusu soko usiwe na wasiwasi kabisa Yani uhitaji wa nyama ni mkubwa sana ,vile vile usije ukasahau kujisajili kwenye bodi ya nyama Tanzania

Nitajisajili.
 
Nenda pale ubena zomozi kwa wale matajiri wa highland estates wana farm inaitwa mbogo farm ujifunze. Pia wana chama cha cattle commercial farmers, jiunge huko ndiko utapata connections za maana from people who have been there and done it!

Ingia Google kuna habari zao nyingi.
 
Nimewahi kusikia ranchi za Taifa,

Hii nchi ilivyo ngumu sijui, labda uwe mwarabu
Mwarabu haoni shida mwarabu mwenzie akifanikiwa and likewise kwa wahindi. Wenzetu hao wana ile imani kwamba there is enough for everybody, don't fight collaborate.

Njoo kwa watu weusi sasa, roho mbaya, choyo na hasadi zimetujaa...nakupa mfano mwepesi wa roho mbaya za watu weusi:

1.angalia wanavyofanyiana roho mbaya sehemu ndogo kama barabarani, ajali nyingi za kupigana pasi msingi wake ni roho mbaya ya kukataa mwenzio asipite na pia roho mbaya ya kutaka kumchomekea mwenzio ili uwahi wewe wakati ulichelewa kwa kupitiliza usingizi baada ya kunywa pombe zako...

2. Njoo maofisini, wakati weupe wana collaborate waswahili ngozi ya *tako wanafanyiana ubaya ili kuharibiana kazi...mtu humjui wala hakujui mmekutana kazini lakini anakuchukia bila sababu...kuna mkinga mmoja alinifanyia unyama pahala, won't forget that bastard!

Tuache roho mbaya watu weusi...otherwise tutaendelea kubaki nyuma as compared na jamii nyingine halafu tuwalaumu hao waarabu wakati kwenye decision making kote kumejaa ngozi ya *tako wenzetu...

...wala rushwa na mafisadi wakubwa ni ngozi nyeusi wenzetu na ndiyo wanakwamisha mipango ya weusi wenzao!

Wanaofanya nchi kuwa ngumu ni ngozi ya *tako wenzetu!
 

Shukurani sana kiongozi
 
Mfugaji. .nguruwe 300 mpaka uende Indua kweli. Hao wanaliwa ndani ya wilaya moja teba hata wiki hawatoboi.
India na china uende ukifikisha nguruwe 5000 walau.
 
Heka 20. Unaweza fuga mbuzi wangapi iwapo malisho ni hizo hizo heka. Hawatoki nje ya hapo na hawaletewi chakula nje ya heka 20. Eneo linafaa umwagiliaji.
 
Karibuni.
Mbegu za malisho ya wanyama zinapatikana.
Juncao,Super Napier,Brachoaria na Swago.
Juncao na Super napier ukipanda na kuitunza vizuri unaweza kulisha ng'ombe 15 kwa mwaka kwenye eneno la eka moja.Pia yana 17% ya protein.
Swago zimavumilia ukame na unaweza kulisha wanyama kwenye shamba.
Bei ya Mbegu kg Tsh 5000.
0756625286.
 
Huzo nyasi za kulisha ng'ombe 15 zinapandwa kwenye eneo la ukubwa gani ?
naombashesabu ya kupanda heka moja kwa mfugo mbuzi.
Ukiwachungia humo humo kwa mwaka mzoma watskula mbuz wangapi .
Mbuzi wa kienyeji walioshiba.
 
Weka picha mkuu zinakuwa zimepandwaje na unazitumaje ?
 
Ngozi ya Tako,kama Tako
 
Weka picha mkuu zinakuwa zimepandwaje na unazitumaje ?
Mbegu ni jamii ya napier ila zenyewe ni hybrid.
Unapanda Kati ya shina na shina sm 50 na Kati ya mstari na mstari sm 70,kina cha shimo sm 30na upana wa shimo sm 20.

Unakata na kuwapa ng'ombe,mbuzi na kondoo au punda,pia yakiwa machanga kuku na sungura wanakula.
Yana 17%ya protini,yanafaa sana kwa ajili ya ng'ombe wa maziwa na kwa ajili ya unenepeshaji.
 
Unapanda mbegu au shina ?mbegu au shina. Kuna maswali pale hujayajibu.
 
Mkata and Dakawa (Morogoro), Ruvu (Coast), Mzeri Hill (Tanga), West Kilimanjaro (Kilimanjaro), Manyara (Arusha), Uvinza (Kigoma), Kalambo (Rukwa), Usangu (Mbeya), Kikulula, Mabale, Kagoma, Misenyi and Kitengule (Kagera) na Kongwa
Hizi Ni za serikali
Kagoma kule wanafuga nyati mixer ya tembo!!; Ng'ombe ako na 2389 Kg live weight??
 
Huzo nyasi za kulisha ng'ombe 15 zinapandwa kwenye eneo la ukubwa gani ?
naombashesabu ya kupanda heka moja kwa mfugo mbuzi.
Ukiwachungia humo humo kwa mwaka mzoma watskula mbuz wangapi .
Mbuzi wa kienyeji walioshiba.
Kwenye eneo la ukubwa wa eka moja ukitunza vizuri unaweza kulisha ng'ombe 15,mbuzi au kondoo 100.Mimi ni mfugaji wa ng'ombe wa maziwa, ng'ombe wa nyama,kondoo na mbuzi.
Yanafaa sana kwa ajili ya unenepeshaji wa ng'ombe wa nyama ,mbuzi na kondoo,pia kuongeza maziwa ya ng'ombe.
Picha zipo juu.
Eka moja zinaingia mbegu 5000-6000.
Kwa mara ya kwanza ukipanda utavuna baada ya miezi 2 baada ya hapo unaweza kuvuna kila baada ya siku 30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…