Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

sehemu nzuri ni morogoro au Kibaha/pwani. sababu, uwepo wa malisho ya asili au ya kupanda, uwepo wa maji kunywesha mifugo, soko la ng'ombe DSM.
 
Nafikiria Kibaha na Morogoro.
Mkuu,

Nimeona tangazo la NARCO wanakodisha baadhi ya ranchi zao. Tembelea page yao uwahi nafasi mapema. Hii ni fursa nzuri kwa wafugaji wakubwa.
Unapanda mbegu au shina ?mbegu au shina. Kuna maswali pale hujayajibu.
Mkuu Tangantika umeshaanza ufugaji wa mbuzi? Mwenzio nimethubutu tayari. Nimeanza na mbuzi kumi wa kienyeji, ila nitaongeza mdogo mdogo. Nafugia nyumbani kwangu Morogoro
 
Mkuu,

Nimeona tangazo la NARCO wanakodisha baadhi ya ranchi zao. Tembelea page yao uwahi nafasi mapema. Hii ni fursa nzuri kwa wafugaji wakubwa.
Hawakodishi ranch nzima nzima bali kinachokodishwa ni ranching blocks tena mara nyingi zile za mkataba wa muda mfupi yaani wa mwaka mmoja mpaka mitano
 
Nakuomba nitafute
 
Karibu sana,na kuhusu soko usiwe na wasiwasi kabisa Yani uhitaji wa nyama ni mkubwa sana ,vile vile usije ukasahau kujisajili kwenye bodi ya nyama Tanzania
Ngoja basi aanze kuzalisha ndio ajisajili! Makusanyo hadi kwenye mitaji?
 
Isiolo hafai, maana ndo mbuzi mwenye kufikia uzito mkubwa kwa muda mfupi.
Mh; umenichanga Mkuu. Mbuzi anayefikia uzito mkubwa kwa muda mfupi hafai kivipi? Nikajua ni kinyume chake. Ufafanuzi kama hutojali tafadhali.
 
Elimu mkubwa
 
safi sana, I'm inspired with your story
 
Karibuni JS Farms kwa huduma za mbegu za malisho aian ya Juncao, Super napier au Pakchong 1,Brachiaria na Super k vines.
0756625286.
Tembelea pia page ya Instagram ya jsfarmstz.
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…