Nakusudia kuichangia CHADEMA lakini!

Hili ni neno....habari yake imekaa kinafki sana ...afu inaonesha hayupo kundini
Huyo alishajiapiza kuwa hatajishughulisha tena na Chadema baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi hivyo hapa analeta kejeli tu, apuuzwe.
 
Lissu ni mtu mchoyo na mbinafsi na mwenye husda sana. Maadam sasa amekuwa Mwenyekiti, hilo litadhihirika punde tu!
 
Lissu na Lema hawatachanga.Watawaachia mabwege wachange halafu wao wazitafune.
 
Hela yako baki nayo tu.Wenye kiu ya mabadiliko tunachangia kimya kimya.
Mabadiliko yanahusu na yeye Lisu kubadilika kama alikuwa hachangii Chadema sasa abadilike awe awe anachangia na atamke hadharani kabisa anachangia shilingi ngapi

Asisukumie tu wanachama

Vinginevyo guo wimbo wa mabadiliko hauna maana yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…