The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Maandamano hayawezi kuleta umeme,Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Pole mkuu......hapa unaongea na WAFU.Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Sawa. Bora iwe usiku watu waone kweli kuwa uneme hakuna.Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!!!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Haiwezekani tuwe na viongozi alafu watuambie hawakufanya service hilo sio jukumu letu sie jukumu letu ni kulipa Kodi serikali itupe umemeUnaweza kuwa na points ila acha kuwa brainwashed kuwa mgao ni wa kutengeneza
Shirikisha akili yako ukiambiwa kitu. Hakuna mtu anaweza tengeneza mgao wa umeme nchi nzima.
Hii ni mentality ya mkimbiza mwenge!!Maandamano hayawezi kuleta umeme,
Wewe sio muuza jenereta kweli?Sehemu gani huko mna mgao? Geita na shinyanga yapata wiki sasa hatujakatiwa umeme hata dakika moja!!
Hatukuwatuma viongozi kulala usingizi huku wakiwa na mipango mibovu ya kuhakikisha umeme upo ni jukumu lao KULETA umemeMaandamano hayawezi kuleta umeme,
Siwezi kuwa mpole wakati biashara yangu inakufa lete umeme nataka umemeSerikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole
Siyo January na maharage, hao Kuna mtu kawaweka halafu kawaambia wale kwa urefu wa kamba zao.Uongozi bora ni jambo muhimu sana huwezi amini watu wawili january na maharage wametengeneza tatizo linaloumiza nchi nzima
Taja kitakacholeta uemmeMaandamano hayawezi kuleta umeme,
Unafiki ni mbaya kuliko Mgao wa Umeme.Uongozi bora ni jambo muhimu sana huwezi amini watu wawili january na maharage wametengeneza tatizo linaloumiza nchi nzima