The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
-
- #181
Kama ni mkulima tu nakuomba tuungane kupinga mgao wa umeme una lengo la kunyonya wanyonge na kunenepesha majambaziHapana Mie ni mkulima Tu!
Wakenya waliingia na mawe na marungu barabarani kupigania kushusha bei za Unga, zilishuka?Kama huna Cha kupigania wakati watu wanateseka kwa kukosa umeme shughuli za uzalishaji zinakwama taifa linakosa Pato ila wewe unajitia woga na kuhangaika kazi kuwaza kungonoka tu nahisi unaishi Karne nyingi sana zilizopita
Mimi siko hapa kuzungumzia kupanda kwa bei ya chakula elewa mada!! Napinga uzembe kwenye umeme. Ni uzembe tu Wala hakuna lugha nyingine ya kuelezea hilo sualaWakenya waliingia na mawe na marungu barabarani kupigania kushusha bei za Unga, zilishuka?
wanasiasa wakaitwa kwny meza ya Asali na maziwa na sasa wamewashauru wafuasi wao waachane na hayo mawe waendelee kuchapa kazi
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Mpe shule huyo tupunguze idadi ya wasiojielewaSijifanyi kuwa "nimekwenda shule". Ni hakika nimekwenda shule, nikasoma na kupata ufahamu na maarifa.
Mimi siyo kama wewe uliyefundishwa na mwalimu wako mjinga kuandika insha kwa kutumia herufi kubwa kama ulivyofanya hapa!
Sasa unachobishana na mimi ni kitu gani kama umeelewa na wewe kukiri hapa? Una akili sawasawa kweli wewe?
Nasisitiza tena, kuwa wewe ni zuzu usiye na akili au unazo lakini hutaki kuzitumia vizuri.
Jakaya Mrisho Kikwete hakupeleka mpaka JWTZ kupiga watu wa Mtwara mabomu ili kuondoa upinzani wa wananchi ili yeye awauzie gesi watu wa mataifa ya nje kwa jina la "wawekezaji" kwa ahadi ya kuzalisha umeme wa gesi ili kufanya tatizo la umeme Tanzania kuwa historia?
Ni kwanini unadhani haikuwa hivyo? Hebu fikiri vizuri kisha njoo tuzungumze ukitaka.
Ni kwanini umekuwa msahaurifu kiasi cha sasa uwaamini CCM na serikali yao kuwa wanaweza kutatua tatizo hili leo tena chini ya huyu mwanamke mzembe na mwongo asiyeweza kitu?
Sikiliza bwana. Akili iliyotengeneza tatizo hili, kamwe akili hiyo hiyo haiwezi kutatua tatizo hilo. Weka kichwani hilo!
Utasikia na kuelewa nini toka kwa watu waongo, wabinafsi, mafisadi, wasiojali wengine na wamwaga damu za watu ili kubaki madarakani?
Mpumbavu ni wewe uliyedanganywa miaka zaidi ya 30 iliyopita mpaka leo halafu unaendelea kuwaamini waongo hao hao kuwa Kuna siku watakuwa wakweli na kubadilisha mambo bila kwanza kupata adhabu kali ili wajifunze.
Huna akili wewe, pumbavu kabisa.
Ujadili nini kingine cha maana wakati nchi iko gizani huku wananchi wanahangaika kwa shughuli zao za kila siku za kiuchumi zinazotegemea umeme zikiwa zimesimama halafu wakati huohuo viongozi wao wenye dhamana wakisema tukae na tatizo hili kwa miezi sita mbele ndipo watapata ufumbuzi!?
Uko sawa kiakili kweli wewe???
Labda utaandamana na wenzako msioelewa mambo ya hali ya umeme mimi ninayeelewa nakuona kama hamnazo anayebwabwajaJamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi.
Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6!
Naomba watanzania kwa umoja wetu tuungane bila kujali vyama vyetu maadamu unaumizwa na suala la kukatikakatika Kwa umeme, tuiambie serikali kwa njia ya maandamano makubwa yasiyo na kikomo mpaka iwashe umeme.
Haiwezekani watu tuliowaajiri watutatulie KERO zetu watupuuze namna hii.
Tuungane kusema noooo!!
Tunataka umeme au ondokeni ofisini.
Halafu wafuate watoto na ukoo wake woteUtangulize mke wako mbele
Nyie mnaoelewa umeme ndo mlikuwa mnafungulia maji usikuLabda utaandamana na wenzako msioelewa mambo ya hali ya umeme mimi ninayeelewa nakuona kama hamnazo anayebwabwaja
Kama mngejua vile umeme umenifekisha umekata mtaji wangu Wala msingesemaHalafu wafuate watoto na ukoo wake wote