Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

Hivi wakati wa Magu yeye alikuwa anafanyaje hakukuwa na hizi issues ila sasa unaambiwa ndani ya miezi sita kweli?Na hii ilianza tangu Mwezi wa kwanza aingie huko tanesco na imekuwa endelevu mpk sasa
 
Upuuzi mtupu maendeleo hayaletwi kwa kuandamana tufanye kazi nchi masikini hii wewe na mimi tugundue product tuuze nje ya nchi na mengine mengi ya kuongeza pato na vipato kwa taifa ili tujikwamue maandamano ni ujuha tu hautaleta mkate mezani wala umeme.
 
Hiyo miezi 6 inamaana wamelenga mwezi April ambapo wanatarajia mvua za masika kunyesha na umeme kuanza kupatikana?

Kwa Kweli waje na mkakati wa haraka ku-rescue the hadi situation ya ukosefu wa Umeme miezi 6 ni mingi sana ni mtihani mkubwa huu Kwa wananchi na uchumi .

Waje na short term strategy Kama mkakati wa dharura kutatua tatizo hili zito.
 
Hujui chochote Wala husomi historia Wala hujifunzi umejifungia kwenye chumba cha giza. Maendeleo ni njia ambayo imetumika duniani kote kuifanya serikali ifikiri vizuri haiwezekani ukapuuza chanzo kikuu Cha Pato la mwananchi ambaye kimsingi ndiye mwajiri wako alafu unaleta sababu hazina kichwa Wala miguu it's a big noo.
Watawala wanatabia ya kufikiri mambo ya kijinga na hasa wakijiridhisha kwamba hakuna mtu anawachalenge.
 
Kama hili tatizo la umeme limewashinda pamoja na rasilimali zoote tulizonazo wanatafuta nini ofisni waondoke tu ili tumkodi mtu yeyote mwenye akili za kutatua matatizo ya watu atuongoze
 
Kwa hiyo na huku Kwa Mulugo wataandamana?

View: https://youtu.be/UO2Oah8no8Q?si=Kubtkpe0QfyrFW3u
 
Jaribu kuandamana uone tutakung'oa hayo makalio
Au wewe ndo waziri mwenyewe sisi

tunataka umeme mna madaraka nchi hii kwa zaidi ya miaka 60 ni lini mlikuwa likizo alafu mkashtukiwa mitambo imechakaa na hamna mpango mbadala!? Tunataka umeme maisha yetu yanaumia!?
Mi ndo wa kufunga ofisi kutwa nzima kwenye nchi yangu!? Eti kisa umeme!! Kweli!?
 
Ili shughuli zingine zifanyike bila kikwazo panatakikana umeme wa uhakika na wa kuaminika ni product gani wewe utatengeneza za kuuza nje ambazo umeme hauhusiki!?
We jamaa unaudhi sana!!
 
Wanakulazimisha indirect ununue generator🤣🤣
 
wengine tutaanza usku, tutaanza usku, usku ww maneno..ni mateso
 
Kwana hamna ubavu wa kuandamana, jaribubi muone
 
Hii ya ukarabati wa mitambo tuliiskia muda sana,now mmekuja tena na ishu ya ukarabati.
Now upanishad huyo mtu wa majukwaa angekuwepo mpaka leo hiyo mitambo ingeharibika kungekuwa na mgao??

Mlitakiwa uje na excuse nyingine mpya kabisa kuliko hiyo ya ukarabati au ya maji kupungua.



Q
 
Uniunge mkono vipi? Kwani umeme unakatika kwangu tuu? Sema tupange pamoja tuanzie wapi maandamano we pimbi!! Ninyi ndo madoko wenyewe Sasa uniunge mkono wanini?? Kwendraàaa
Huna uwezo wa kuandamana "gashooor" weeee.....
 
Yaani hata Hawa wanaowatetea sijui kama wanamiliki kimradi chochote kinachohitaji umeme wanaongea simple sana.
Serikali inatakiwa iumize kichwa isidhuru wananchi wake sasa hii yetu haijali chochote alafu Kuna machawa humu wanaona ni kama kuitetea serikali kwenye huu uzembe ni uzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…