Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

Unaweza kuwa na points ila acha kuwa brainwashed kuwa mgao ni wa kutengeneza

Shirikisha akili yako ukiambiwa kitu. Hakuna mtu anaweza tengeneza mgao wa umeme nchi nzima.

Kaka nafikiri hujajua dunia inavyooenda.. mbona kuengineer mgawo wa umeme ni jambo rahis sana tena kwa Nchi za africa hasa tz ambao kauli mbiu ni uchawa na ubinafsi.. c zinatoka ordwr kwa watu wachache na hao wachache wanatoa ordee kqa wengine tu

Hv unajua tunavituo vingap vya kuzalisha umeme tanzania.. chukulia kundi la watu wa flan wacheche wenye influence wakiamua kuweka watu wao kwenye vyanzo vikuu kusabotage supply mbona rahs tu..

Yaan vitu kama madini.. money laundry na maliasili vinapanda ndege vinaondoka sembuse. Kitu ambacho sio cha kuhamishika? Tena kitu technical ambacho ukipewa
Sababu huwez bisha maana huna data

Kaka fungua macho dunia iko mbali sana belive me kutengeneza mgao haihitaji watu hata zaid ya 30 .. yaan chain yake ni kati ya 15 to 20.. na hapo kuna chain of command kuanzia wizaran hadi tanesco..

Kama mlishawah kuambiwa kuwa makaburi yasifukuliwe uchumi utatetereka sembuse kutengeneza mgao.. hii inakuonyesha kuwa kuna waty wameshikilia Uchumi nch

Kama iliqezekana mambo ya richmond sembuse mgao

Sisemi kuwa huu mgao umetengenezwa ila nakwambia ni kitu rahs kufanya kuliko kuhamisha mabilion ya pesa ambapo utaacha traces
 
Serikali kupitia mama yetu Rais was Tanzania ameshatoa miezi sita asisikie kelele za mgao was umeme. Kuwa mpole

Nani asiyejua zinazosuburiwa ni mvua za masika zitakazonyesha kwenye kipindi hicho?
 
Acha udwanzi, kanunue jenerata.
 
Acha udwanzi, kanunue jenerata.
Kumbe wakala wa jenereta nyie ndio mnazima umeme ili muuze majenereta yenu!? Maandamano yako pale pale
Kama hawawezi kutatua changamoto ya umeme wajiuzulu tumewapa Kodi wameshindwa kuzuia mgao wa umeme lazima wawajibike
 
Nani asiyejua zinazosuburiwa ni mvua za masika zitakazonyesha kwenye kipindi hicho?
Wewe hao jamaa zetu ni wajanja janja sana hapa wana visingizio viwili haijulikani kipi ni kipi mara mitambo mibovu mara maji hakuna ila serikali ya ccm ilishasema kuwa wakitaka kukata umeme huwa wanatafuta visingizio ndio kama hivi.
 
Wewe hao jamaa zetu ni wajanja janja sana hapa wana visingizio viwili haijulikani kipi ni kipi mara mitambo mibovu mara maji hakuna ila serikali ya ccm ilishasema kuwa wakitaka kukata umeme huwa wanatafuta visingizio ndio kama hivi.

Alipoteuliwa Biteko siku mbili mfululizo Umeme ukawepo. Kataeuliwa Mkurugenzi mpya siku mbili mfululizo tunapumua sawa sawa ngoja ziishe hIzi tuone ...
 
nchi inajitahidi hali ya sasa sio sawa na huko ilikotoka japo wanahitaji zaidi kuboresha vitu vidogo na tunawaona kabisa wanafanya hivyo ila hayo maandamano hayabadili sera wala wala hayata achieve chochote zaidi ya kuongeza matumizi ya kwenda kununua tear gas kuyadhibiti badala ya hio fedha kwenda kufanya mambo ya maendeleo sasa taifa ndio linapoteza always law lazima ziwe enforced and obeyed narudia pale pale hoja za maandamano ni ujuha wa kuzidisha umasikini ktk taifa masikini.
 
Ujinga.....

Watanzania hawana utamaduni wa maandamano....si wetu huo..
 
[emoji2956][emoji2956]
 
Nunua generator
 
Kama huna pesa shauri yako, endelea kucheka. Na utaandamana humuhumu Twitter na ma warriors wenziyo wa key board
Kila mahali yalikofanyika mageuzi na maandamano makubwa yalianzia social media ninachofanya hapa ni kuraise awereness nakuhakikishia kuzima haya maandamano nataka umeme uache kukatikakatika
 
Maandamano ni sawa na sheria
 
Mimi nitaungana nawe ili kushinikiza serikali itoe msamaha wa kodi kwa kampuni zote binafsi na wafanyabiasha mpaka pale tatizo la umeme litakapotatuliwa na kupatikana kwa dollar, kuendelea kuchukuwa kodi kwa biashara ambazo zinategemea umeme kwa kiasi kikubwa ni kutuvunjia heshima na kutudharau. Hiyo biashara ilifanyika lini na kwa nyenzo gani ya nishati kama wao wazalishaji/wasambazaji wa umeme wameshindwa kutatua tatizo hilo?
Pia serikali hii under CCM imeshindwa kila sehemu, maji yenyewe ni mtihani kuyapata, wakati tunalalamikia maji na umeme ghafla tumeingizwa kwa ukosefu wa dollar, yaani wao ni wazuri sana kwenye kutengeneza matatizo lakini kuyatatua ni mtihani..
 
pengine yeye ndio Mke mwenyewe, tumshauri na Mumewe awepo

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Kama huna Cha kupigania wakati watu wanateseka kwa kukosa umeme shughuli za uzalishaji zinakwama taifa linakosa Pato ila wewe unajitia woga na kuhangaika kazi kuwaza kungonoka tu nahisi unaishi Karne nyingi sana zilizopita
 
Yataanzia wapi ili wadau wajue?!!!
Bado naendelea na vikao na kamati yangu tunafanya maazimio lakini tukishafikia muafaka tutawatangazia umma
Haya ni maandamano ya kudai haki yetu ya kupata umeme bila mgao maana tunateseka ila ambao mgawo hauwasumbui ruksa kulala nyumbani kwa raha zao. Huwezi kugawa kitu ambacho ni haki Kila mtu akipata mbona ikulu hakuna huo mgao!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…