Nakusudia kuwafikisha Mahakamani Lowasa, Membe na Sitta


Waje kumuokoa mutu wao wanguvu EL
 
Tumekusoma mkuu,ngoja tulete data!

PhD yuko wapi atupatie data. Huyu jamaa mara nyingi amekuwa akiahidi kuleta data za nyuzi mbalimbali japo ahadi zake sijapata kumuona akizitimiza.

PhD tusaidie ndg zako ktk hili kama taarifa hz unazo
 
Mkuu mbona unajichanganya?.Iweje ukusudie kumpeleka mtu mahakamani halafu ndiyo uombe data! Au wewe ni mzee wa Antilog?
 
Tz kila mwananchi ana hold bachelor ya siasa. Ok all the best.
 
Ni vyema ukaandaa ushahidi vizuri.
 
Mkuu mbona unajichanganya?.Iweje ukusudie kumpeleka mtu mahakamani halafu ndiyo uombe data! Au wewe ni mzee wa Antilog?

Unajua maana ya kukusudia?

Ndio nakusanya ushahidi na kama wewe unao ushahidi unaoweza kusaidia kumtia hatiani zaidi ya ule wa Tume ya Mwakyembe ulete hapa ili nitekeleze kusudio langu!
 
Tz kila mwananchi ana hold bachelor ya siasa. Ok all the best.

Hivi wanasiasa ndio wanaoshughulika na mambo ya kesi mahakamani?

Lete ushahidi ndugu ili nitimize kusudio langu na kuweka uwanja safi wa siasa 2015
 

pumbaaaafffffffffffff ww unasema ndani y ccm hakuna msafi ww unawajua ccm wote?unaweza ukawa unamtukana bb yko,mama yko,then unasema km mbowe slaa ni wasafi,sallllaaaala au humaanishi mbowe huyu aliye chukua pesa za walalahoi na kwenda kutumbua na hawara yake dubai?na hchi kikongwe ndio ndio kichafu kabisa mpk leo hakijaoa kazi kuzini na wake wake za watu ,lol kajipange tena
 

Lete ushahidi wa hayo ndugu,
 
ninachokiona ni kuwa unaonekana kuwa na chuki zaid kuliko kuendeshwa na facts,hiv ulishawah kufuatilia ile ripot ya mwakyembe juu ya kinachoitwa ufisad wa lowasa?uliwah kufuatilia vikao vya kamati kuu ya ccm wakat lowasa alipouliza kwanin anaitwa fisad?unajua kilichotokea?unaelekea kuwa na mawazo mazur kwa maana unapenda tuwe na viongoz wasio na kashfa lakin approach unayoitumia inaweza kukuweka pabaya kisheria coz unafanya direct attacking kwa watu kwa vitu ambavyo hunaushahid navyo mana hata ile riport ya mwakyembe ilikuwa ver subjective other than objective hivyo haikuwa na uhalali hata wa kumfanya lowasa ajiuzulu bali lowasa aliamua kutumia busara binafs na kuonyesha uwajibikaji kisiasa lakin kwa watu wenye chuk watafikir kama unavyofikir
 

Hapa ni wakati CHADEMA kikijitambulisha kama chama cha kizalendo. Lakini kwa hali ilivyo sasa, hatujapata chama mbadala wa CCM zaidi ya vikundi vya waganga njaa tu. Mungu nakuomba iepushe Tanzania na wahuni wa kisiasa wanatumia nguvu ya ushawishi wa kinafiki kujaribu kuliangamiza taifa. Kwa heri CHADEMA, kwa heri upinzani.
 

@Yericko Nyerere namna ya Kumsafisha Mhe.Lowassa. Kuelekea OCt.2015 hii hapa chini

CDM na Mhe.Lowassa watangaze rasmi kupitia kwa Taarifa ya Maandishi ya Mawakili kuwa yeyote anayempakazia au kuendelea kumpakazia kuhusiana na Rushwa ndani ya Zoezi la Richmond atafungulia Kesi ya Madai ya kumchafua jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…