Teknolojia ni jambo la kuogopwa sana..
Angalia sasa anavyoumbuka, ukiachana na hoja yake ya ushahidi amemuita lowassa majina yote mabaya , mpaka alizotumia ameziita kharamu, haya sasa huyo mwanaharamu ndiye mjumbe wenu wa kamti kuu na anategemea kugombea tena urais 2020 kuptia chama chako kitakatifu..
Teknolojia iogopwe jamani