Soma post vizuri acha kukurupuka. Hajasema anataka mchepukoBeing a Single father is an added advantage.
Wakristo hawazalii nje ya ndoa, na wakizalia ndani ya ndoa hawaoi tena.
Ukristo kwa maana ya ufuasi, sidhan kama unatafuta Mkristo bali unatafuta Mpinga Kristo.
Kila la kheri Mkuu
Soma post vizuri acha kukurupuka kama Chalamila. Hajasema anataka mchepuko
Anataka mtu wa kumuoa wajenge familia
Cha kwanza acha ubinafsi!Being a Single father is an added advantage.
Wakristo hawazalii nje ya ndoa, na wakizalia ndani ya ndoa hawaoi tena.
Ukristo kwa maana ya ufuasi, sidhan kama unatafuta Mkristo bali unatafuta Mpinga Kristo.
Kila la kheri Mkuu
Mungu akupe hitaji la moyo wakoHabari WanaJF
Mimi ni mwanamke wa miaka 32 na Nina mtoto mmoja. Nimekuja jukwaa hili mahusi kutafuta mwanaume aliye single na yuko matured kujenga familia.
Awe na miaka 33 na kuendelea na awe mkristo, akiwa na mtoto itapendeza zaidi. Awe muwazi na mkweli. Awe na shughuli ya kumpa kipato halali.
Kama una sifa hizo karibu sana PM.