Nakutafuta matured man

Nakutafuta matured man

wangonda

New Member
Joined
Jun 10, 2021
Posts
2
Reaction score
3
Habari WanaJF

Mimi ni mwanamke wa miaka 32 na Nina mtoto mmoja. Nimekuja jukwaa hili mahusi kutafuta mwanaume aliye single na yuko matured kujenga familia.

Awe na miaka 33 na kuendelea na awe mkristo, akiwa na mtoto itapendeza zaidi. Awe muwazi na mkweli. Awe na shughuli ya kumpa kipato halali.

Kama una sifa hizo karibu sana PM.
 
Being a Single father is an added advantage.

Wakristo hawazalii nje ya ndoa, na wakizalia ndani ya ndoa hawaoi tena.

Ukristo kwa maana ya ufuasi, sidhan kama unatafuta Mkristo bali unatafuta Mpinga Kristo.

Kila la kheri Mkuu
Soma post vizuri acha kukurupuka. Hajasema anataka mchepuko
Anataka mtu wa kumuoa wajenge familia
 
yaan hzo sifa zote ni zangu

nadhan maombi yangu yamejibiwa,

daaahh mke wangu nimekusubilia kwa mda mrefu sana,

ngoja nije huko huko PM tuyajenge,nakupenda sana aiseee daaaahh aliyeanzisha JF abarikiwe sana maana nimeshapata mke,hongera sana admins
 
Being a Single father is an added advantage.

Wakristo hawazalii nje ya ndoa, na wakizalia ndani ya ndoa hawaoi tena.

Ukristo kwa maana ya ufuasi, sidhan kama unatafuta Mkristo bali unatafuta Mpinga Kristo.

Kila la kheri Mkuu
Cha kwanza acha ubinafsi!

Mtu aliyewahi kuwa mdhambi akatubu hapaswi hata kujiita mkristo?

Ndugu unachokihubiri kipeleke huko huko not on my thread please.By the way what are you benefiting from trash comments? Disgusting!
 
Habari WanaJF

Mimi ni mwanamke wa miaka 32 na Nina mtoto mmoja. Nimekuja jukwaa hili mahusi kutafuta mwanaume aliye single na yuko matured kujenga familia.

Awe na miaka 33 na kuendelea na awe mkristo, akiwa na mtoto itapendeza zaidi. Awe muwazi na mkweli. Awe na shughuli ya kumpa kipato halali.

Kama una sifa hizo karibu sana PM.
Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
Back
Top Bottom