Dr.Nkabanzanabilyao
Member
- Nov 21, 2014
- 21
- 9
Hicho cha pili sasa...ngoja aje
Kwa hizo SIFA Dr.Habari wanajamvi,
utambulisho wa awali,
mimi ni kijana katika 30's,
daktari wa binaadamu, na mjasiriamali wa teknolojia.
mkazi wa Big Bon- kariakoo dar es salaam,
Pasi na shaka muda nami umetimia!
nakutafuta mwanadada wewe,
sifa kuu tatu, kuanzia mbili si haba!
1. GENIUS: mwenye akili maono na busara! hapa shule sio lazima.
2. WHORE: kwa lugha ya kuudhi "malaya" nkimaanisha mjuvi wa "chumba". I like good sex!
3.RICH: nkimaanisha awezeye kuwa mbia wa biashara, mjasiriamali, awezaye kuweka shilingi kwenye ndoto kuu!
UPO? KARIBU!
Sex machine, anavua bila zengwe
Siyawezi hayo...tumeumbwa tofauti
Umuoe nani...Haha labda kama hutaki nikuoe
Unatafuta mwenza kibabe sana.Naamini utampata tu.Habari wanajamvi,
utambulisho wa awali,
mimi ni kijana katika 30's,
daktari wa binaadamu, na mjasiriamali wa teknolojia.
mkazi wa Big Bon- kariakoo dar es salaam,
Pasi na shaka muda nami umetimia!
nakutafuta mwanadada wewe,
sifa kuu tatu, kuanzia mbili si haba!
1. GENIUS: mwenye akili maono na busara! hapa shule sio lazima.
2. WHORE: kwa lugha ya kuudhi "malaya" nkimaanisha mjuvi wa "chumba". I like good sex!
3.RICH: nkimaanisha awezeye kuwa mbia wa biashara, mjasiriamali, awezaye kuweka shilingi kwenye ndoto kuu!
UPO? KARIBU!
Umuoe nani...
Aggy
Huwa haisubiriwi banaaHaya subiri
teh teh teh!Unatafuta mwenza kibabe sana.Naamini utampata tu.