Nakutafuta mwanadada wewe, sifa kuu tatu

Nakutafuta mwanadada wewe, sifa kuu tatu

Habari wanajamvi,
utambulisho wa awali,
mimi ni kijana katika 30's,
daktari wa binaadamu, na mjasiriamali wa teknolojia.
mkazi wa Big Bon- kariakoo dar es salaam,
Pasi na shaka muda nami umetimia!
nakutafuta mwanadada wewe,
sifa kuu tatu, kuanzia mbili si haba!
1. GENIUS: mwenye akili maono na busara! hapa shule sio lazima.
2. WHORE: kwa lugha ya kuudhi "malaya" nkimaanisha mjuvi wa "chumba". I like good sex!
3.RICH: nkimaanisha awezeye kuwa mbia wa biashara, mjasiriamali, awezaye kuweka shilingi kwenye ndoto kuu!
UPO? KARIBU!
Kwa hizo SIFA Dr.

Tafuta tu, kwa WAGONJWA WAKO,
hasa hiyo ya pili.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
 
Habari wanajamvi,
utambulisho wa awali,
mimi ni kijana katika 30's,
daktari wa binaadamu, na mjasiriamali wa teknolojia.
mkazi wa Big Bon- kariakoo dar es salaam,
Pasi na shaka muda nami umetimia!
nakutafuta mwanadada wewe,
sifa kuu tatu, kuanzia mbili si haba!
1. GENIUS: mwenye akili maono na busara! hapa shule sio lazima.
2. WHORE: kwa lugha ya kuudhi "malaya" nkimaanisha mjuvi wa "chumba". I like good sex!
3.RICH: nkimaanisha awezeye kuwa mbia wa biashara, mjasiriamali, awezaye kuweka shilingi kwenye ndoto kuu!
UPO? KARIBU!
Unatafuta mwenza kibabe sana.Naamini utampata tu.
 
Back
Top Bottom