Habari wanajamvi,
utambulisho wa awali,
mimi ni kijana katika 30's,
daktari wa binaadamu, na mjasiriamali wa teknolojia.
mkazi wa Big Bon- kariakoo dar es salaam,
Pasi na shaka muda nami umetimia!
nakutafuta mwanadada wewe,
sifa kuu tatu, kuanzia mbili si haba!
1. GENIUS: mwenye akili maono na busara! hapa shule sio lazima.
2. WHORE: kwa lugha ya kuudhi "malaya" nkimaanisha mjuvi wa "chumba". I like good sex!
3.RICH: nkimaanisha awezeye kuwa mbia wa biashara, mjasiriamali, awezaye kuweka shilingi kwenye ndoto kuu!
UPO? KARIBU!