Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

Gussi

Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
16
Reaction score
2
Nashukuru wana jf kwa kunielewa maana tayari nimeshafanya biashara na baadhi yenu, kikubwa kilichonifanya nirudi hapa ni kwamba nilikuwa sijaeleza vitu vingine ninavyoweza kufanya, ni kwamba kama una gari aina yoyote unataka kuisafirisha nipo tayari kufanya hivyo, kwani ni siku chache tu nilikuwa karatu kuchukua fuso ya mtu na kuileta dar bila shida, vilevile nashughulikia kumuuzia mtu gari lake na hata kumtafutia kwa anayehitaji gari aina yoyote, ni fundi mzuri na dereva mzuri wa aina zote za magari.


Mimi ni muuzaji wa spea za magari na ni fundi wa magari, kwa sasa sina duka ila nafahamu sehemu nyingi ambazo zinauza spea aina tofauti za magari na nazijua aina nyingi za spea, hivyo nitakushauri na kukufungia mwenyewe ili kuondoa utata wa kufaa au kutofaa kwa spea husika ( nitafanya hivyo kwa wakazi wa Dar tu) Kuhusu kuaminiana maana hii ni biashara tutafanya utaratibu wa namna yoyote kuhakikisha kila mtu anakuwa na amani, maana ukihitaji spea tunaongea ni aina gani na inauzwa kiasi gani dukani na wewe utatoa kiasi cha pesa ya spea na mimi nitakununulia bila shida, naona watu wameanza kujiuliza kuna usalama kweli wa hela zetu hapa?
Hii ndio kazi yangu ninayoitegemea katika kuendesha maisha yangu siwezi kufanya ujanja wa aina yoyote, mimi nina ujuzi au niseme ufundi na ujuzi wa kuzifahamu spea, ninachokosa ni mtaji wa biashara husika, Karibu tufanye biashara nikununulie spea na kukufungia mwenyewe bure na kama utaona nimefanya kazi nzuri na kunipa maji ya kunywa basi sawa. Sasa mtu anajiuliza mimi kama mnunuaji Napata nini? Utanilipa kiasi Fulani kwa ajili ya kuhangaika kukutafutia spea husika, kiasi ambacho ni maelewano pia. Nitafute kwa mawasiliano hayo ili kupata ufafanuzi na maelezo mengine. 0784305019 Nawasilisha.
 
Nikikuuliza spea suspension's ya Dodge caliber 2007 bei gani utasema hujui mpaka ukaulize Jumatatu maduka wakifungua. Si ndio?
 
Natafuta shock ya gx 110 za mbele na nyuma original bei gani??? Nitazipataje nipo dodoma???
 
Back
Top Bottom