Japo haijatajwa sababu ya kwann umeshushwa kwenye bajaji na ukapandishwa kwenye bodaboda, lkn mtazamo wa wengi ni kwamba uliendelea kusifia jina la bosi wako wa zamani ukalididimiza na kulidhihaki la huyu wa sasa.
Ukataka kujivika ushofeli na umwamba kwa kuyaazima matendo na maneno ya lile jina ambalo kimsingi hakuna anayetaka hata kulisikia.
Ukiwa kwenye bodaboda hiyo tafadhali chunga mdomo wako. Usilitaje jina lile litakuletea dhahama. Utashushwa tena kisha upandishwe baiskeli.
Lkn ya nini uhangaike na mavi ya kale? Kubali ama kataa lile jina ni sawa na mavi ya kale, kamwe hayanuki.
Ni hayo tu. Ni mm nduguyo G4N, ninayekuusia.