Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Chai,.oloshoo!!!!Mumu huyo ana haribu ndoa ya watu
HahahaaMahaba ya kitanga tuu. Keshazoea akirudi chumba kinanukia asmin. Bado nimebebe kwenda kuoga na maji nimetia mdalasini. Lazima adate
nani kasema [emoji20][emoji20][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza si msha achana huyoo!
Me huwezi nielewaa[emoji20] [emoji20] [emoji24]nieleweshe ww tafadhali mamii [emoji17]
Nooh! Hakuna hajaMueleweshe jamaniii
[emoji20] [emoji20] [emoji20]mm nimefika muda tu...nakuona ww upo busy na 3D tu[emoji20]
Kwa hiyo braza funga kesimm nimefika muda tu...nakuona ww upo busy na 3D tu[emoji20]
Mmh,...kakaaaNooh! Hakuna haja
Mkaushie tuu
nitakuelewa tu ivo ivoMe huwezi nielewaa[emoji20] [emoji20] [emoji24]
[emoji19][emoji19][emoji19]Nooh! Hakuna haja
Mkaushie tuu
Usjali mi ntaongea na mumuNaamin wew ukiwepo hawez kuharibu
ndio[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Nini kinaendelea jamaniiUsjali mi ntaongea na mumu
Si pia kuwaachanisha watu
Mumu huwa ana nielewa
Hakuna kesi hapa brotherKwa hiyo braza funga kesi
Unachagua
Mzigua90 au mumu?
[emoji23] [emoji23]Chai,.oloshoo!!!!
Kwelii?nitakuelewa tu ivo ivo
Mzigua93 Unaambiwa [emoji116]Nakutakia usiku mwema bint mrembo, (naita dhahabu ndani ya kariakoo nzima - Dully ),
Mungu akuepushe na vishari vya usiku,
Mungu akulinde na mafundo kwa wenye kupuliza,
Mungu akulinde na hasidi kwa wenye kuhusudu,
Usiku mwema Mzigua90
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh,...kakaaa
Braza hebu eleweka uko upande gani[emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna kesi hapa brother