Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Chura kakimbilia majiniMkuu acha kumtaja chura wangu huku!![emoji32][emoji32][emoji32]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chura kakimbilia majiniMkuu acha kumtaja chura wangu huku!![emoji32][emoji32][emoji32]
Pole..karibuNdo naona saa hizi. JF kuna mtu ana mtima nyongo nami maana iweje nisione hii eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lahaulaaa lakwata.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Pombe ikikuisha kesho, ebu ukuje urudie kusoma ulicho kuandika....tehteehh
NtakuzinguaMzinguaji kapata dili
Afu wewe muda wote kule kijani unanichatisha huniambii kama shemeji ako alinitakia usiku mwema.Wakunyumba ukuje jamani
AsanteePole..karibu
poaAsantee
Sawa.Nipo ndo naona hapa
Huku ni stress free zone. Ukijibebea stress huku unataka kujipunguzia kuishi tuuSawa.
Nyuzi zingine ni za kutufariji sana humu maana huku nje tunakumbana na mambo mengi ila ukiingia humu unajikuta unatabasamu mwenyewe
loooohhh hahaaa wewe huoni kama kuna ubaya mkuu""" wampende halafu wanatka wamfanyaje ??? aiseeeeKwani jamani shemeji vibaya wengine wakimpenda shemejio?
Shemeji unajua nilivyomfia ndugu yako. Usiwe na wasiwasiloooohhh hahaaa wewe huoni kama kuna ubaya mkuu""" wampende halafu wanatka wamfanyaje ??? aiseeee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Uzi wa toka jana nikajua umeuona umeupuzia sitaki umbea mieAfu wewe muda wote kule kijani unanichatisha huniambii kama shemeji ako alinitakia usiku mwema.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na kweliSawa.
Nyuzi zingine ni za kutufariji sana humu maana huku nje tunakumbana na mambo mengi ila ukiingia humu unajikuta unatabasamu mwenyewe
[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Chura kakimbilia majini
Umeona eeehhh.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na kweli