MhhhSalamu zikufikie
ewe mrembo kritika popote ulipo, sina hari juu yako mimi ny'ang'any'ang'a sina usemi mama... umenibamiza mlangoni sina jinsi ntatoa tu damu.
mapenzi jeneza basi mi ntalala juu yake, na mwiko mzuri niuchongao
kwa ajili yako natumai utanisongea ugali siku moja, mapenz nijifunzie kwako kritika nielewe
usikaze roho yako ya kwangu itapasuka.
natumai
hahahaMvua za masika zina taabu
Mtu anapenda I'dhahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mvua za masika zina taabu
Mteja vipi biashara yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mteja ulitoa advance ndogo nimekwambia uongeze ukapoteaMteja vipi biashara yetu
DuuhMteja ulitoa advance ndogo nimekwambia uongeze ukapotea
Nilikwambia 100k ukatoa 50k nasubiri uongeze tuje tufanye biashara mteja wanguDuuh
Ulitaka 50K
Daah ujue VYUMA VIMEKAZANilikwambia 100k ukatoa 50k nasubiri uongeze tuje tufanye biashara mteja wangu
Basi bwana ukiongeza tutafanya biznecDaah ujue VYUMA VIMEKAZA
Hiyo 50K natoa huku roho yauma