MILL8
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,837
- 879
Salamu zikufikie
ewe mrembo kritika popote ulipo, sina hari juu yako mimi ny'ang'any'ang'a sina usemi mama... umenibamiza mlangoni sina jinsi ntatoa tu damu.
mapenzi jeneza basi mi ntalala juu yake, na mwiko mzuri niuchongao
kwa ajili yako natumai utanisongea ugali siku moja, mapenz nijifunzie kwako kritika nielewe
usikaze roho yako ya kwangu itapasuka.
!
!
!
natumai ujumbe umeupata