Nakuzimia kritika nataka nikuoe.

Nakuzimia kritika nataka nikuoe.

Basi laki si pesa bibie.

Chezea kwenye 1.5T ukifeli sanaa
Njoo kwa vile 360 vya mboga tena za majani vya bibi tibaijuka[emoji23]
[emoji23] [emoji23] uko parefu mno sio level zangu,mie laki laki ndo size yangu kabisa.
1.5T unataka niundiwe tume?
 
[emoji23] [emoji23] uko parefu mno sio level zangu,mie laki laki ndo size yangu kabisa.
1.5T unataka niundiwe tume?
Alaa kumbe wataka vilakiii
Nadhan ukienda pale k/koo mitaa kamaa chikichi utakutana na maduka na mambo yenu helen,peter.

Dazan mpaka 3500 asa fanya pair moja uza 2000*12 kikopo kimoja una=hesabu kichani.kila ukienda job free time wapitishie
Kopo 5 tayar una kalaki laki ivi.

Mengine jiongeze[emoji23]
 
Back
Top Bottom