Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Ahaaa jamaaa ulikuwa unatisha na kunikatisha tamaa kinoma sasa yako wapi

Cc baby mbitiyaza

Sent using Jamii Forums mobile app

alihis nna mashauzi !nayaanzaje sasa wanaume mmekuwa adimu namna hii!hv nilikua na kampango ka kwenda 'love connect' nitafute bwana wa kunilea !sema kila nikienda nagongana na Behaviourist narud!mara Neybright anikutanize eissh nikawa nahis SOO
 
Kumbe tunaendana wangu nikitoka safal yangu ya dom nitakupitishia zabibu, aple na makolombwezo kibao

Sent using Jamii Forums mobile app

Niletee vifuatavyo baby;
zabibu,wine(nikuchomee nyama ),pure heaven,apples,asali,keki, eet sum more,blueband kubwa , icing sugar(nikupikie madikodiko ),sundrop,sukari,nido kubwa ,spices za chai,
na kiatu blak no 39 baby ! mid heel
 
hahahaha jaman Azarel mbn km sikuelewi ! jaman achen bas na mie ndo bahat yangu hii! hebu ifike pahala tuachiane gap km hizi !usk umekuwa mfupi sana kwangu !hapa nawaza navaa shela aina gan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitakuja kukuchaghulia
 
Niletee vifuatavyo baby;
zabibu,wine(nikuchomee nyama ),pure heaven,apples,asali,keki, eet sum more,blueband kubwa , icing sugar(nikupikie madikodiko ),sundrop,sukari,nido kubwa ,spices za chai,
na kiatu blak no 39 baby ! mid heel
Usijali baby kiunon namba ngap mpenz wangu nataka nikuchulie nguo za ndan, sket na sulual skin jeans

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha jaman Azarel mbn km sikuelewi ! jaman achen bas na mie ndo bahat yangu hii! hebu ifike pahala tuachiane gap km hizi !usk umekuwa mfupi sana kwangu !hapa nawaza navaa shela aina gan
Ulipo niua hapo kwenye skuli fizi ya team ya Pili na kuchezwa kwa bint yetu.
Yaani jamaa kafika kwa wakati kabisaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baby weng wanachukia wewe kunipenda mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakukumbusha tu hakuna mtu anayekuonea wivu!!
Huko ni kuonesha vipi upo desperate and insecure[emoji23]
A real man fight for his love sio kulialia unavyofanya hapa Na kutegemea kopa ya bure[emoji23]
Mwishoni tutakugongea demu wako mchana kweupe[emoji23]

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom