Huyu ndugu aliaga kwamba atapotea, namkumbuka katika maandiko yake aliaga, kuna siku aliandika kwamba atapotea kwa muda.Wadau hivi Joseverest mbona sijamuona kitambo..kuna anaejua kuhusu jose?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndugu aliaga kwamba atapotea, namkumbuka katika maandiko yake aliaga, kuna siku aliandika kwamba atapotea kwa muda.Wadau hivi Joseverest mbona sijamuona kitambo..kuna anaejua kuhusu jose?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tunaendana wangu nikitoka safal yangu ya dom nitakupitishia zabibu, aple na makolombwezo kibaositumii hayo makitu !mie natumia maji zaid ! na fruits
Ahaaa jamaaa ulikuwa unatisha na kunikatisha tamaa kinoma sasa yako wapi
Cc baby mbitiyaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha dharau mkuu baby Wang sio bibi tafadhal sana tuheshimianeHuna akili ww bibi
Kumbe tunaendana wangu nikitoka safal yangu ya dom nitakupitishia zabibu, aple na makolombwezo kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa nilikuwa sitakikuandika leo.Acha blablah! Kalipe school fees za watoto wawili kwanza!
Kisha toa gharama za binti kuchezwa your step daughter[emoji23]
Maua hata shuleni yapo!
DJ sepetu
Mrendaa ww[emoji13] [emoji13] [emoji13]
HahahaNilijua tuu utakuwa umejichimbia kwenye nyuzi kam hizi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitakuja kukuchaghuliahahahaha jaman Azarel mbn km sikuelewi ! jaman achen bas na mie ndo bahat yangu hii! hebu ifike pahala tuachiane gap km hizi !usk umekuwa mfupi sana kwangu !hapa nawaza navaa shela aina gan
Usijali baby kiunon namba ngap mpenz wangu nataka nikuchulie nguo za ndan, sket na sulual skin jeansNiletee vifuatavyo baby;
zabibu,wine(nikuchomee nyama ),pure heaven,apples,asali,keki, eet sum more,blueband kubwa , icing sugar(nikupikie madikodiko ),sundrop,sukari,nido kubwa ,spices za chai,
na kiatu blak no 39 baby ! mid heel
Achana naye baby asituyumbishe huyoalihis nna mashauzi !nayaanzaje sasa wanaume mmekuwa adimu namna hii!hv nilikua na kampango ka kwenda 'love connect' nitafute bwana wa kunilea !sema kila nikienda nagongana na Behaviourist narud!mara Neybright anikutanize eissh nikawa nahis SOO
Usijali baby kiunon namba ngap mpenz wangu nataka nikuchulie nguo za ndan, sket na sulual skin jeans
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipo niua hapo kwenye skuli fizi ya team ya Pili na kuchezwa kwa bint yetu.hahahaha jaman Azarel mbn km sikuelewi ! jaman achen bas na mie ndo bahat yangu hii! hebu ifike pahala tuachiane gap km hizi !usk umekuwa mfupi sana kwangu !hapa nawaza navaa shela aina gan
Nywanoko, pita pemben achana na mimi tafuta mwanaume mwingine wa kumzoeaMrendaa ww[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kamera zangu....Hahaha
Upooo
Nakukumbusha tu hakuna mtu anayekuonea wivu!!