LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Mbiti unazimiwa na msela mavi hebu mpe nafasi kijana huyo japo ayakimbize manukato yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani pale umesema utaonekana kama ghost nimecheka balaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ahahh leo utacheka ! yaan nataka kupambwa kishari shari !heheheh! nasasambauje siku hyosasa !
Unaemwambia unaingia kanisani anazimua hapa balimi Na mzinga Wa konyagi[emoji23] [emoji23]Baby wangu naingia kanisan, lakin usibak mpweke masaa mawili sio meng saa sita tutakuwa wote mpenz, jichunge wabaya ni weng sana wasikudanganye mpenz wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka kwanza hivo alivyokuorodheshea bby yako sio unarukia ambavyo hajaomba taratibu mkuu utanyooka tu. Hahaaa just utani mkuu nanyupu. Best wishesUsijali baby kiunon namba ngap mpenz wangu nataka nikuchulie nguo za ndan, sket na sulual skin jeans
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHaaaahaah ndo nishamwacha !jazwa ujazwe hii!
Nanyupu Na mbitiyaza siku wakipanga kuonana live!!Peleka kwanza hivo alivyokuorodheshea bby yako sio unarukia ambavyo hajaomba taratibu mkuu utanyooka tu. Hahaaa just utani mkuu nanyupu. Best wishes
Yaani pale umesema utaonekana kama ghost nimecheka balaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jumapili nzuri sana leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nanyupu Na mbitiyaza siku wakipanga kuonana live!!
Itakuwa hivi
Nanyupu:hello baby uko wapia nimeshafika stendi ya nyegezi hapa!
Mbitiyaza:ndo tunaingia stend baby umevaa nguo gani!
Nyanyupu:suruali nyekundu Na pama kama la magu.wewe je
Mbitiyaza: teneti la zambarau halafu nilisahau kukuambia Nina ujauzito Wa yule jamaa Wa mwisho
Usijali Lea hii tu mimba itakayo fuata yako!
Nanyupu:sawa tu! Baby Mimi pia tumekuja kukupokea Na wanangu 7nilisahau kukuambia!
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] embu tupia hata mbili tu tuoneahahahaha kun harus jaman huwa najiuliza huyu biharus alijitizama uson ? hahahha dah mkuu we acha tu !nitakutaftia pic za kuchekesha za maharusi utacheka uzimie ! unapakwa marang rang km jini vile hahha linataka kutoa roho !lol
cc Nalendwa
Kila lenye kheri mdadateh acha nijliipue tu shoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] embu tupia hata mbili tu tuone
Tupia nazisubirihahhahaahah ngj nizifukunyue
Tupia nazisubiri
Huyu honey wako mbona kaingia mitini tena
Mrendaa tu ww..emu njoo pm[emoji41] [emoji8]Nywanoko, pita pemben achana na mimi tafuta mwanaume mwingine wa kumzoea
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaNanyupu Na mbitiyaza siku wakipanga kuonana live!!
Itakuwa hivi
Nanyupu:hello baby uko wapia nimeshafika stendi ya nyegezi hapa!
Mbitiyaza:ndo tunaingia stend baby umevaa nguo gani!
Nyanyupu:suruali nyekundu Na pama kama la magu.wewe je
Mbitiyaza: teneti la zambarau halafu nilisahau kukuambia Nina ujauzito Wa yule jamaa Wa mwisho
Usijali Lea hii tu mimba itakayo fuata yako!
Nanyupu:sawa tu! Baby Mimi pia tumekuja kukupokea Na wanangu 7nilisahau kukuambia!
DJ sepetu
Utampitisheje kwenye maporomoko huko?
Hakika nasema kabla yakufika kwako itakuwa bora akifika nikampa yaliyo ya kweli kuhusiana na ninyi viumbe.Namonea huruma sana.
Sent using Jamii Forums mobile app