Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Baby wangu naingia kanisan, lakin usibak mpweke masaa mawili sio meng saa sita tutakuwa wote mpenz, jichunge wabaya ni weng sana wasikudanganye mpenz wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaemwambia unaingia kanisani anazimua hapa balimi Na mzinga Wa konyagi[emoji23] [emoji23]
Halafu huingii kanisani wala nini
Usiigize jaribu kuwa real![emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Peleka kwanza hivo alivyokuorodheshea bby yako sio unarukia ambavyo hajaomba taratibu mkuu utanyooka tu. Hahaaa just utani mkuu nanyupu. Best wishes
Nanyupu Na mbitiyaza siku wakipanga kuonana live!!
Itakuwa hivi

Nanyupu:hello baby uko wapia nimeshafika stendi ya nyegezi hapa!

Mbitiyaza:ndo tunaingia stend baby umevaa nguo gani!

Nyanyupu:suruali nyekundu Na pama kama la magu.wewe je

Mbitiyaza: teneti la zambarau halafu nilisahau kukuambia Nina ujauzito Wa yule jamaa Wa mwisho
Usijali Lea hii tu mimba itakayo fuata yako!

Nanyupu:sawa tu! Baby Mimi pia tumekuja kukupokea Na wanangu 7nilisahau kukuambia!



DJ sepetu
 
Yaani pale umesema utaonekana kama ghost nimecheka balaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jumapili nzuri sana leo


ahahahaha kun harus jaman huwa najiuliza huyu biharus alijitizama uson ? hahahha dah mkuu we acha tu !nitakutaftia pic za kuchekesha za maharusi utacheka uzimie ! unapakwa marang rang km jini vile hahha linataka kutoa roho !lol

cc Nalendwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatari sana mkuu
 
ahahahaha kun harus jaman huwa najiuliza huyu biharus alijitizama uson ? hahahha dah mkuu we acha tu !nitakutaftia pic za kuchekesha za maharusi utacheka uzimie ! unapakwa marang rang km jini vile hahha linataka kutoa roho !lol

cc Nalendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] embu tupia hata mbili tu tuone
 
Hahaaa
 
Utampitisheje kwenye maporomoko huko?
Hakika nasema kabla yakufika kwako itakuwa bora akifika nikampa yaliyo ya kweli kuhusiana na ninyi viumbe.Namonea huruma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app


hahahah nidokeze mkuu ! sema mie wasukuma wannikera kukaa kwenye compound ya wazaz wao hata wakiwa wameoa !eish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…