Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Huu mpango siumini naona kama ni ubuuyu tu

Ila sio kama naona wivu jinsi nanyupu atakavyo faidi LA hasha

Nahisi tunaibiwa mawazo hapa

Don't mind me
 
Ahaaaaaahaaas
 
Huu mpango siumini naona kama ni ubuuyu tu

Ila sio kama naona wivu jinsi nanyupu atakavyo faidi LA hasha

Nahisi tunaibiwa mawazo hapa

Don't mind me


hhahaha huamini km nadaiwa ada? au
huamini km namcheza my first born dec?
au huamni km nimekubali ombi lake??
 
Hio sentensi ya mwisho ndo povu langu lilipo lalia haswaaa

Don't mind me

teh! amini !me sijatamkiwa hata shikamoo jaman khaa mkuu niwache!hii kwangu' fulusa'

peace upon to u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…