Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #401
Siwez shemu maana ni bonge la mtoto bomba we acha tu yaan ni mtoto mkal kinomaHutakiwi kuzingua
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwez shemu maana ni bonge la mtoto bomba we acha tu yaan ni mtoto mkal kinomaHutakiwi kuzingua
Mondray si unaye yule ..........gal?Mkuu nimekula za usoo aiseee Cajojo kanikataa..Nikope mistari baaasi..
Ahaaaa tatizo nyota wala siyo mistar mkuuMkuu nimekula za usoo aiseee Cajojo kanikataa..Nikope mistari baaasi..
Mondray si unaye yule ..........gal?
hahaha anza wewe mume
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Shangaa na wewe, mie nimepita kimya kimyaKhe! Mashauzi yote haya kumbe hajakupm mpk muda huu??
Siwez shemu maana ni bonge la mtoto bomba we acha tu yaan ni mtoto mkal kinoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbitiyeezer..hahaawoyooooooooooooooooooooooooooooooooooooo hizi ndo techniques za kihenga! unanyonyolewa hivihiviiiiiiii
Ahaaaaaaaa[!]Mimi sijazimikia mtu, ila nahisi kukuzimikia wewe, kwa hiyo jiandae kusikia la mgambo likilia
Sawa Ila angalia usije ukambemenda mtoto wa mwanamke mwenziohahhh damu mbichiiiiiii! nishaongeza idadi .. nw na watoto wa3!acha nilee teh
Huu mpango siumini naona kama ni ubuuyu tunanyupu wanaume siku hzi wamekuwa adimu hawatongozi tena ! binafs siamin sana km upo serious na kunipenda ! kweli bwana hujakosea kuniita single maza ! sina mume achana na demi ,Neybright ,Cajojo shida yao wanataka niendelee kupauka tu ! watasema sana lakini ziba maskio !
nipo tayar ht kwa ndoa ya boman mkuu ! hata mwez ujao nippo tayar !nimechoka sana maisha ya upweke umekuja damu changa kwa muda muafakaa !njoo tujiachie ,twende beach kupunga upepo,tule maisha!
popote ulipo nanyupu jua nimekukubalia ombi lako ! umekuja muda muafaka na ada ya wanangu ya term ya 2 sikuwa nimeliipia asante ukaaye palipoinuka kuniletea mtu huyu !
tuanze kwanza na la school fees mengine yatafuata!
pia nina kabinti kameshavunja ungo december nataka kumcheza (baba alikua mzaramo kuchezwa lazima) hvyo uje pm tuanze maandalizi ya shughuli
NAKUPENDA nanyupu ! uwe na usk mwema
Nimebadili ID ..Wadau hivi Joseverest mbona sijamuona kitambo..kuna anaejua kuhusu jose?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaaaahaaasnanyupu wanaume siku hzi wamekuwa adimu hawatongozi tena ! binafs siamin sana km upo serious na kunipenda ! kweli bwana hujakosea kuniita single maza ! sina mume achana na demi ,Neybright ,Cajojo shida yao wanataka niendelee kupauka tu ! watasema sana lakini ziba maskio !
nipo tayar ht kwa ndoa ya boman mkuu ! hata mwez ujao nippo tayar !nimechoka sana maisha ya upweke umekuja damu changa kwa muda muafakaa !njoo tujiachie ,twende beach kupunga upepo,tule maisha!
popote ulipo nanyupu jua nimekukubalia ombi lako ! umekuja muda muafaka na ada ya wanangu ya term ya 2 sikuwa nimeliipia asante ukaaye palipoinuka kuniletea mtu huyu !
tuanze kwanza na la school fees mengine yatafuata!
pia nina kabinti kameshavunja ungo december nataka kumcheza (baba alikua mzaramo kuchezwa lazima) hvyo uje pm tuanze maandalizi ya shughuli
NAKUPENDA nanyupu ! uwe na usk mwema
Huu mpango siumini naona kama ni ubuuyu tu
Ila sio kama naona wivu jinsi nanyupu atakavyo faidi LA hasha
Nahisi tunaibiwa mawazo hapa
Don't mind me
Hio sentensi ya mwisho ndo povu langu lilipo lalia haswaaahhahaha huamini km nadaiwa ada? au
huamini km namcheza my first born dec?
au huamni km nimekubali ombi lake??
Sawa Ila angalia usije ukambemenda mtoto wa mwanamke mwenzio
Hio sentensi ya mwisho ndo povu langu lilipo lalia haswaaa
Don't mind me