Huyu ndugu yetu ni kiboko [emoji119] kajua kuorodhesha mahitaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naulizaa mkuu sina maana mbaya maana nikifatilia conversation naona kmaa utani
AhahahaaaaaaHahaha!, acha tu Ney nimecheka sina hamu!
Shemeji yetu inabidi ajiweke sawa haswa! [emoji1]
Shemu mbona niko vizur dada yenu nitamutunza vizur sanaHahaha!, acha tu Ney nimecheka sina hamu!
Shemeji yetu inabidi ajiweke sawa haswa! [emoji1]
cc MBITIYAZA njoo uthibitishe.Acha zako wenzako tushabadilishana had namba tunatumiana tu mapicha WhatsApp
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu sio utan hata mimi zaman nilikuwaga najua utan kumbe ni ukweli tupu, mwenzako nafaid kweli kweli mtoto ni mkal baraaNaulizaa mkuu sina maana mbaya maana nikifatilia conversation naona kmaa utani
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua shemu maana had kuna midume inanitukana pm kisa baby wangu mbitiHaya ndo maneno tunataka sikia, All the best Shem..
Kumbuka kuna watu wana mpenda sana pia.
sawa mkuu.kila lakheriAcha zako wenzako tushabadilishana had namba tunatumiana tu mapicha WhatsApp
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakin mtoto ni mkali kinoma aisee sijui bahat gan hii, mungu anipe nini sasa zaid yaid ya mtoto mwenye chura kama huyusawa mkuu.kila lakheri
Aisee,chura umeionea wap tena mkuu.wakat hata hamjaonana.Sawa lakin mtoto ni mkali kinoma aisee sijui bahat gan hii, mungu anipe nini sasa zaid yaid ya mtoto mwenye chura kama huyu
Love u mbiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu mbona unatajataja jina la mke wangu kwenye coment zakoAisee,chura umeionea wap tena mkuu.wakat hata hamjaonana.
cc MBITIYAZA
sorry mkuu.AMANI
Hahaha ukabanjuka juuuuhhahahha ! uwiii ! majuz niijhitoa ufaham nikaenda hotel nikakuta wanapiga miziki!kwakweli nikaweka shida chini nikanyanyua mikono juu ! nikasema jaman liwalo na liwe nimechoka ! weeeeeee mara paaaaaaap huyu hapa !jicho katoa hatar km katuni ya baba ubaya
Hahahaa bos aman ipi hiyo wakat nakuona unamnyemelea kigori wangusorry mkuu.AMANI
Chereko cherekooooo!Embu waite Heaven Sent na espy waje wampe hongera binti wa kisukuma
Hahahaaaa! Naona mbinti kawa singo mazeri lol!!!