Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

hhahahha ! uwiii ! majuz niijhitoa ufaham nikaenda hotel nikakuta wanapiga miziki!kwakweli nikaweka shida chini nikanyanyua mikono juu ! nikasema jaman liwalo na liwe nimechoka ! weeeeeee mara paaaaaaap huyu hapa !jicho katoa hatar km katuni ya baba ubaya
Hahaha ukabanjuka juuuu
 
Wewe MBITIYAZA acha kuchezacheza na watoto wadogo mapenzi hawajui, njoo kwangu upumzike.
 
Back
Top Bottom