Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Hayo ndio mambo sasa, na mapenzi pia yananoga. Upate hata muda wa kumfikiria kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila cc bili hazisomi, si unajua tena! [emoji85]

Hahah!, kwa kweli. Cc za hivi zinakumbusha mengi sana, hata kama ulisahau kumpikia uki Cc hivi mpaka recipe ya nguvu itajileta yenyewe...lol!
 
unavijua?vinarange kati ya 20tsh hv ! ngj nitapata tu picha !hahahha mavisigino sasa uwiii ! wavae kina mama zetu walio kwenye menopause

Hahah!, visigino vya kurudi nyuma akati wewe unaenda mbele?!
Halafu inabidi uwe adui na jua cos sipati picha joto lake...lol!

Shemela Nanyupu ajipange vizuri kwa kweli, usije babuka miguu bure..
 
Hahah!, visigino vya kurudi nyuma akati wewe unaenda mbele?!
Halafu inabidi uwe adui na jua cos sipati picha joto lake...lol!

Shemela Nanyupu ajipange vizuri kwa kweli, usije babuka miguu bure..

hahahahahhha nakugawa rasm usiku wa leo Nalendwa nimecheka sna jaman !bas unavijua ! hahahaha dah ! siku nitaaupload humu desgn km 3 hv !hatar sana jaman! nadhan nanyupu anasoma haya
 
hahahahahhha nakugawa rasm usiku wa leo Nalendwa nimecheka sna jaman !bas unavijua ! hahahaha dah ! siku nitaaupload humu desgn km 3 hv !hatar sana jaman! nadhan nanyupu anasoma haya

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Shemela ayasome tu kwa kweli!
Hatutaki uwe na mabaka miguuni shosti..[emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom