[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana ney niniiii..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Pampula kaachwa lini kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]Hapo kwenye peps umejitahidi, na alikuwa anaomba mungu sana asipate mlevi...teh
Hahaa cajojo atafika hapa mda si mrefuAkikukubalia namimi namtokea Cajojo
Hahahaaaaa ngachekaaAkija naomba mtu yeyote alike hii post yangu ili nipate notification na kureje kwenye uzi
Pqmpula ndo nan huyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isije ikawa huyu ndio Mr pampula kampenda mkewe kwa mara ya pili [emoji125][emoji125][emoji125]
Mkuu home kwetu ng'ombe ni wa kutupwa ni hapo tu geita katoro si mbali pia hata mie ni ngoshaUnataka kuwa shemej yangu eeeh, huwez mahari ya wasukuma wewe. Nakushauri uende kwa wazaramo, wasambaa,wagogo, wahehe au wangoni. Huko utalipa hata kwa tigo pesa, kwetu jipange kijana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mume wake huyo,
Hahaaaa sie wake za watu yakheee
Jamani Cajojo, mbona bado hajaja.Hahahaaaaa ngachekaa