Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu

Kwakweli mimi huwa namzimikia sana huyu bidada single Mother anayejulikana kama mbiti yaza, nakupenda sana mbiti yaza, moyo wangu umekufa na umeoza juu yako

Naomba masela mnisaidie kumtag japo auone huu ujumbe special kwa ajili yake

Sina cha zaid na kingine kwako zaid ya kukukabiz moyo wangu uufanye utakavyo baby mbitiyaza

Mwaaaaaaaaaa


LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Atauona tuu huu ujumbe wewe tulia c umesema ya Moyoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hujaamua kusogeza kiumbe chenye akili timamu kwenye himaya yako bila kutumia silaha !!

Fuata hizi mbinu
1.mjue jina lake halisi .

2.kama anapenda utani linyumbue jina lake Kwa namna ya pekee!yaani utofautiane na wengne katka uitaji

3.mpigie simu kila Mara !hapa usisahau kuwa unalitumia hilo jina ili alizoee!..

4.Fanya vitu tofauti kwake huku ukifuatilia mrejesho kutoka kwake kama anavipenda vitu hivyo na anakutofautisha na wengne walowahi kummbebisha

5.Usiwe na uharaka ya kuiambia jamii kuhusu hisia zako kwake..anyway unaweza kuwaambia watu ila yeye asijue

6.Mfahamu vizuri ikiwa ni pamoja na kuudukua udhaifu wake na kuuelewa mahali ulipo egemea

7.Akisha kuzoea kama ng'ombe wa mnada anza kumswaga taratibu bila kutumia fimbo tumia maneno matamu mubashara ili afike getto

8.Siku akifika getto Kwa Mara ya kwnza usianze kumsimulia kuhusu mafanikio yako humo ndani

9.Mwache ashike kila akipendacho humo ndani !vya kushika vikiisha utaanza kushikwa wewe sasa!hapa usije kuruka kama mjusi aliyedondoka kutoka juu ya mti

10.Ukishikwa usikiruhusu kiboro dinda kidinde haraka jikaze ili aanze kudinda yeye!hapa utamchezea kama mtoto mdogo

11.Sasa baa mdogoo hapa mtekenye samaki wako na umgeuze geuze unavyotaka akiiva mle kirafi kabisa na Kwa kiwango cha rami..

12.Baada ya hapo njoo sasa umsifie huku JF na ukimtofautisha na thread zote ambazo umewahi kupekenyuaa

Nasi tutamuita shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii

acha uongo
Mmmmh.!! Nyie ndio mnaochukua wake za watu, hizi mbinu hizi [emoji19][emoji20]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isije ikawa huyu ndio Mr pampula kampenda mkewe kwa mara ya pili [emoji125][emoji125][emoji125]

Huwa sikumalizi ujue...lol!

Yupo busy kuna jambo kidogo limembana, nadhani kesho atakuwa free. Aje ampokee mpenzi mpya [emoji23]

Hahah!, eti kaitwa nani?
Sipati picha majibu yake..😀
 
Back
Top Bottom