Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

nanyupu wanaume siku hzi wamekuwa adimu hawatongozi tena ! binafs siamin sana km upo serious na kunipenda ! kweli bwana hujakosea kuniita single maza ! sina mume achana na demi ,Neybright ,Cajojo shida yao wanataka niendelee kupauka tu ! watasema sana lakini ziba maskio !

nipo tayar ht kwa ndoa ya boman mkuu ! hata mwez ujao nippo tayar !nimechoka sana maisha ya upweke umekuja damu changa kwa muda muafakaa !njoo tujiachie ,twende beach kupunga upepo,tule maisha!

popote ulipo nanyupu jua nimekukubalia ombi lako ! umekuja muda muafaka na ada ya wanangu ya term ya 2 sikuwa nimeliipia asante ukaaye palipoinuka kuniletea mtu huyu !

tuanze kwanza na la school fees mengine yatafuata!

pia nina kabinti kameshavunja ungo december nataka kumcheza (baba alikua mzaramo kuchezwa lazima) hvyo uje pm tuanze maandalizi ya shughuli

NAKUPENDA nanyupu ! uwe na usk mwema
 
Muhenga ni muhenga tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]

time will tell
 
shoga hatimaye vilio vyetu vimeanza kusikika sasa !khaaa hatutongozwi na watu ndo hawa sasa! sasa demi na group yetu mniandalie shughuli jaman ! tunalia lia kumbe kuna watu wenye UTHUBUTU NAMNA HII ! kwakwel nimejisikia mwenye furaha tena !unaakaje miaka 6 bila hata kusalimiwa jaman !khaaa nanyupu nakupenda pia mdogo wangu! masuala ya umri yasikutishe tutafix tu mbn !
Nakupenda pia mpnz walilikuwa wananitisha et nitapigwa na mr pampula sijui ndo nan huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaan mkuu hunijui tabia yangu hata 10% nahakika ! matusi nimeyajua ukubwana kbs!yes nna hasira lakini siwez mdhalilisha mtu ! sipo hvyo ! mie 100% ni charmn napenda sana kucheka !
Baby walikuwa wananitisha sana akina muosha rungu pamoja na huyo et utakuja kunitukana sijui mara nini nini huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nanyupu wanaume siku hzi wamekuwa adimu hawatongozi tena ! binafs siamin sana km upo serious na kunipenda ! kweli bwana hujakosea kuniita single maza ! sina mume achana na demi ,Neybright ,Cajojo shida yao wanataka niendelee kupauka tu ! watasema sana lakini ziba maskio !

nipo tayar ht kwa ndoa ya boman mkuu ! hata mwez ujao nippo tayar !nimechoka sana maisha ya upweke umekuja damu changa kwa muda muafakaa !njoo tujiachie ,twende beach kupunga upepo,tule maisha!

popote ulipo nanyupu jua nimekukubalia ombi lako ! umekuja muda muafaka na ada ya wanangu ya term ya 2 sikuwa nimeliipia asante ukaaye palipoinuka kuniletea mtu huyu !

tuanze kwanza na la school fees mengine yatafuata!

pia nina kabinti kameshavunja ungo december nataka kumcheza (baba alikua mzaramo kuchezwa lazima) hvyo uje pm tuanze maandalizi ya shughuli

NAKUPENDA nanyupu ! uwe na usk mwema
NAKUPENDA PIA BABY WANGU MBITI ULALE SALAMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sema wewe kila siku kuniomba acc no hawek chochoteee hehehehe huyu nimteme tu !kila siku naangalio salio tgpesa wapii ! khaa we BILGERT ndo nishakutema! tafuta wa kufanana na ww !mie ndo nhamishia maisha geita katoro! nikale thato mie
Geita katoro ni nyumban kwa wazaz lakin sisi baby tutaish MWANZA IGOMA maana ndo nakoish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom