Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #81
Acha kujipendekezaWewe achana na totoz yangu kabisaa tafuta wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujipendekezaWewe achana na totoz yangu kabisaa tafuta wengine.
Demi ,,miss you[emoji8] [emoji7] [emoji8]Maombi yamejibu
Acha kujitoa akili bwana mkubwa, mambo hayako hivyo na huwa hayaend hivyo
Huyo biliget mwambie asinizoee kabisa aniache na mbiti wanguMr. BILGERT naona unanyang'anywa tamu yako hivi hivi. Usije ikawa umeshindwa kuhudumia
Naona unanitafutia bun pasipo sababu ya msingi we endeleaHahahaa,sio kweli demi jana nmemtumia USD 821 kwa ajili ya matumizi ya mwez wa tisa.
Hangaika na huyo huyo achana na mbiti wanguhahaaa,sawa.tatzo ww hujib PM zang
Nahene nakatogilwe gete gete nkoy anka mbiti yaan laxima nakapandeke wamwise
Demi once again , I miss you [emoji8] [emoji7] [emoji8] mchepuko.
Demi wamie I kinda like you sweetheart mcheps [emoji8] [emoji7] [emoji8]
Sawa sawa balikiwa sana demi ni mwanamke mzur sanacc demi .......sawa mkuu
Atauona tuu huu ujumbe wewe tulia c umesema ya Moyoni.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Kwakweli mimi huwa namzimikia sana huyu bidada single Mother anayejulikana kama mbiti yaza, nakupenda sana mbiti yaza, moyo wangu umekufa na umeoza juu yako
Naomba masela mnisaidie kumtag japo auone huu ujumbe special kwa ajili yake
Sina cha zaid na kingine kwako zaid ya kukukabiz moyo wangu uufanye utakavyo baby mbitiyaza
Mwaaaaaaaaaa
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaaaaa
Mmmmh.!! Nyie ndio mnaochukua wake za watu, hizi mbinu hizi [emoji19][emoji20]Kabla hujaamua kusogeza kiumbe chenye akili timamu kwenye himaya yako bila kutumia silaha !!
Fuata hizi mbinu
1.mjue jina lake halisi .
2.kama anapenda utani linyumbue jina lake Kwa namna ya pekee!yaani utofautiane na wengne katka uitaji
3.mpigie simu kila Mara !hapa usisahau kuwa unalitumia hilo jina ili alizoee!..
4.Fanya vitu tofauti kwake huku ukifuatilia mrejesho kutoka kwake kama anavipenda vitu hivyo na anakutofautisha na wengne walowahi kummbebisha
5.Usiwe na uharaka ya kuiambia jamii kuhusu hisia zako kwake..anyway unaweza kuwaambia watu ila yeye asijue
6.Mfahamu vizuri ikiwa ni pamoja na kuudukua udhaifu wake na kuuelewa mahali ulipo egemea
7.Akisha kuzoea kama ng'ombe wa mnada anza kumswaga taratibu bila kutumia fimbo tumia maneno matamu mubashara ili afike getto
8.Siku akifika getto Kwa Mara ya kwnza usianze kumsimulia kuhusu mafanikio yako humo ndani
9.Mwache ashike kila akipendacho humo ndani !vya kushika vikiisha utaanza kushikwa wewe sasa!hapa usije kuruka kama mjusi aliyedondoka kutoka juu ya mti
10.Ukishikwa usikiruhusu kiboro dinda kidinde haraka jikaze ili aanze kudinda yeye!hapa utamchezea kama mtoto mdogo
11.Sasa baa mdogoo hapa mtekenye samaki wako na umgeuze geuze unavyotaka akiiva mle kirafi kabisa na Kwa kiwango cha rami..
12.Baada ya hapo njoo sasa umsifie huku JF na ukimtofautisha na thread zote ambazo umewahi kupekenyuaa
Nasi tutamuita shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii
acha uongo
Nilishawasilli muda mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isije ikawa huyu ndio Mr pampula kampenda mkewe kwa mara ya pili [emoji125][emoji125][emoji125]
Yupo busy kuna jambo kidogo limembana, nadhani kesho atakuwa free. Aje ampokee mpenzi mpya [emoji23]
Kumbe inaruhusiwa kuhamisha mazimikio😀Jamani Cajojo, mbona bado hajaja.
Nitakuzimikia ujuee
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Ni tatizo kubwa😀Sio tatizo bibie..