Nakuzimikia sana MBITIYAZA

hahahahhha ney acha dharau jaman !haha wivu huo !hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Shost hilo neno nimeliskia kwenye radio station moja hivi jamani hata sijui linamaana gani,
Mfugaji mie hayo maneno ya pwani siyajui, embu niambie nini maana yake shogaa nisije nikapigwa ugenini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa maana hatuwezi kuvumilia kwa style hii jamani looh,,,,,! Hatujazoea haya maisha
Kabisa, ngumu hata kuvumilia..

Na kweli, ila wakishindwa kabisa wataongea kinyumbani wataimbiana na nyimbo zao za kikabila nadhani watafurahia zaidi [emoji4][emoji4]

[emoji28] [emoji23] [emoji23]

Nyimbo za kikabila za mapenzi..[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…