Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Yeah ni mambo ya ubunifu tuu ili attractions ziwepo [emoji6]Kabisa, ngumu hata kuvumilia..
[emoji28] [emoji23] [emoji23]
Nyimbo za kikabila za mapenzi..[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ni mambo ya ubunifu tuu ili attractions ziwepo [emoji6]Kabisa, ngumu hata kuvumilia..
[emoji28] [emoji23] [emoji23]
Nyimbo za kikabila za mapenzi..[emoji2]
Nilikuwa naye tunavuta shuka kunako sita kwa sita usiwe na was was shemu atakuja tuNimemmiss sana sana maana anaingia hapa kwa manati. Yupo busy na singeli plus vigodoro sijui mitaa ya wapi huko
Shemu unapenda sana uchochezHivi nanyupu anajua vizuri kuseduce? Naona kama vile hana speed inayotakiwa
Ok ok....mida ya kazi nyie mnacheza kombolela.Nilikuwa naye tunavuta shuka kunako sita kwa sita usiwe na was was shemu atakuja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125]️[emoji125]
Tatizo hata vyanzo vyake vya mapato havieleweki kwa kifupi ni mtu wa kumtilia mashaka sana.Hivi nanyupu anajua vizuri kuseduce? Naona kama vile hana speed inayotakiwa
Mke wake atathibitisha hili...tehTatizo hata vyanzo vyake vya mapato havieleweki kwa kifupi ni mtu wa kumtilia mashaka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atamtunzia siri tu mkuu ila we ushawahi ona gari ya kuburutwa ikaovertake?Mke wake atathibitisha hili...teh
Gari ya kuburutwa means?Atamtunzia siri tu mkuu ila we ushawahi ona gari ya kuburutwa ikaovertake?
Sent using Jamii Forums mobile app
I meant gari inayovutwa kwa kwamba na nyenzake kama breakdown hviGari ya kuburutwa means?
Ha haaa mi simooooI meant gari inayovutwa kwa kwamba na nyenzake kama breakdown hvi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni mambo ya ubunifu tuu ili attractions ziwepo [emoji6]
Hahahaaa mara moja moja siyo mbayaOk ok....mida ya kazi nyie mnacheza kombolela.
Roho inakuuma sana pole yakoTatizo hata vyanzo vyake vya mapato havieleweki kwa kifupi ni mtu wa kumtilia mashaka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa roho yake inauma sana ana visiran sana na penz letuHa haaa mi simoooo