Nakwazika mtu kila mkikutana anaomba buku 5 akatoe Lock

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Kuna wale jamaa hela alizotafuta yeye ni zakufanyia maendeleo ila ulizotafuta wewe anachukulia kama ni zakunywea pombe.

MNASHINDA MAZINGIRA YENYE FURSA SAWA KWENU, NA AU MDA MWINGINE YEYE MDA WOTE YUPO KIJIWEN ANAPIGA STORY
Ila kila mkikutana anakwambia "nipe buku5 nikatoe lock
HUWA WANANIPA SHIDA SANA JUU YA FIKRA WALIZONAZO HAWA JAMA
 
Usichukulie kila kitu sirias. Mengine ni utani tu ili masaa yaende mkuu. Kwani ukimwambia huna atakukaba?
 
Zaman niliwah jikuta kwa siku napoteza karibia elfu 6 kwa hawa omba omba wenye nguvu zao tena wengine wana kipato zaidi yangu

Lakin sahv nimekuwa mgumu sana,yaan nawakazia hatar,sahv hii tabia ya omba omba kuna wanaume wengi sana wanayo sijui ni kwanini
 
Kuna wale jamaa hela alizotafuta yeye ni zakufanyia maendeleo ila ulizotafuta wewe anachukulia kama ni zakunywea pombe.

MNASHINDA MAZINGIRA YENYE FURSA SAWA KWENU, NA AU MDA MWINGINE YEYE MDA WOTE YUPO KIJIWEN ANAPIGA STORY
Ila kila mkikutana anakwambia "nipe buku5 nikatoe lock
HUWA WANANIPA SHIDA SANA JUU YA FIKRA WALIZONAZO HAWA JAMA
ushajiweka don kwao kwanini wasikuombe

Ila unaweza kufanya yafuatayo
-Usitoe hela ya bure hata iweje (kumbuka hyo tabia umewazoesha hamna mtu ataekuomba akijua huwez mpa au we mchoyo)

-Unajionesha don kwao yaan unajionesha mambo safi!! USIKUBALI KAMA UNAELA WAKILIA NAWW LIA HALI NGUMU

-We uwe unawa wai kuwaomba na unakazia hapo hapo had wakikuona wakwepe njia
 
Back
Top Bottom